Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi...
3 Reactions
1 Replies
749 Views
Timu ya taifa ya Senegal ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuilaza Misri katika mechi ya fainali iliyoandaliwa katika uwanja wa Olembe katika jiji kuu...
2 Reactions
1 Replies
668 Views
Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana. Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana tumeshuhudia mechi bora Sana tangu msimu huu was ligue ya NBC premier pale mabingwa wa kihistoria Yanga fc walipo kutana na wababe toka unyakyusani mbeya city (wazee wa ..koma kumwanya)...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu duniani (IFFHS) limetangaza orodha ya ligi kuu bora duniani kwa mwaka 2021 Ambapo Tanzania imepanda kwa nafasi 9 kwa mwaka 2020 ambapo ilishika...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Kwanza niipongeze timu ya taifa ya mpira wa miguu ya cameroon kwa kupindua meza jana 5.02.2022 dhidi ya timu ya taifa ya burkinafaso baada ya kutoka nyuma kwa mabao 3 kwa bila na ndani ya dakika...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kauli Jumuishi za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Kucheza Leo Mechi yao na Mbeya City FC "Hakuna wa Kumzuia Yanga SC kwa sasa iwe katika Viwanja vibovu vya Mikoani au vizuri vya Dar es Salaam. Leo...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram. Jana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanaspoti Kolamu MZEE WA UPUPU: Kuna mtoto anachezea simu ya Mo Dewji? WEDNESDAY FEBRUARY 02 2022 [https://www] ADVERTISEMENT Mara zote Simba inapopitia kipindi kigumu, mwekezaji wao...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara. Hakuna taarifa rasmi juu...
11 Reactions
94 Replies
9K Views
Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, mchezo umeshaanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. YANGA 0-0 MBEYA CITY - FULL TIME Dk 1: Timu zimeanza kwa kusomana, matokeo ni...
2 Reactions
368 Replies
20K Views
Hii ni kwasababu: Mbeya City ni moja ya timu inayotoa upinzani, hivyo matokeo ya mechi baina ya hii timu na timu zingine zinazofukuzia ubingwa, ni matokeo decisive katika kuja kutoa bingwa. Kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana...
13 Reactions
815 Replies
46K Views
Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari, Frank Lampard ametuliwa kuwa kocha wa Club ya Everton na kuchukua mikoba ya Rafael Benitez ambaye amefukuza hivi karibuni. Frank Lampard ambaye amewahi kuwa kocha wa Club ya Chelsea...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Neymar Jr mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Brazil, leo ametimiza miaka 30. Wakati Neymar akisheherekea kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake, Dunia ya soka bado ina deni kwake. Tuliaminishwa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"Nionyeshe marafiki zako nikutajie tabia yako" hiyo ni kauli ya Margareth Thatcher aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Uingereza ambaye wenyewe Waingereza walipenda kumuita "Iron...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom