Kipindi Yanga tulipokuwa chini ya Simba kimatokeo basi tulikazania sana suala llaUBINGWA WA KIHISTORIA
Sasa hivi SIMBA wako chini ya YANGA kimatokeo nao sasa wamekazania sana RANK ZA CAF, IFFH...
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani...
1.Ronaldo Luís Nazário de Lima
Heshima
Club
Cruzeiro[6]
Campeonato Mineiro (1): 1994
Copa do Brasil (1): 1993
PSV Eindhoven[6]
KNVB Cup (1): 1996
Johan Cruijff-schaal (1): 1996
Barcelona[6]...
[emoji95] 𝘼 𝙎 𝙀 𝘾 𝙈 𝙄 𝙈 𝙊 𝙎 𝘼 𝙎 [emoji573]
[emoji419] Kwa kifupi sana kuhusu ASEC MIMOSAS wapinzani wa Simba kwenye kombe la shirikisho Afrika,
[emoji419] Klabu hii ilianzishwa mwaka 1948 ni...
Kwa hali ilivyo simba inabd wafute benchi lote wasimuonee huruma hata matola mwenyewe kisa ni simba.
WE UNACHEZA NA PRISON UNAJUA KABISA NI WATU WA KUPARK BUS NA KUVIA
1. Unamuweka benchi mchezaj...
Bonjour wakuu,
Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana...
Kila nikimtizama Rally Bwalya najiuliza kwanini Shiboub asisajiliwe kuziba nafasi ya Bwalya? Yule Msudani amemzidi kila kitu huyu dogo mzambia.
Uzi tayari.
Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi.
Timu fulani kubebwa au timu hii...
Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa...
Wataalam naomba mnisaidie hili maana kuna mechi flan ilikua ya Yanga kipa alidakia nje akapewa direct red card, Jana simba na mwadui kipa alidakia nje akapewa yellow. Naomba kujua ipi ni sahihi au...
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.
Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100%...
Hii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho .
Video hii...
Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu...
Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi...
Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo...
Je, hii kauli ya Huyu muheshimiwa. Wana Msimbazi wenzangu mnaichukuliaje
Binafsi naichukulia Kama kejeli coz anatufanya sisi Wana Simba kama watoto wadogo.
Ni sawa na mtoto anovyomwambia baba...
.
Niliposikia na kuona Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Sc ya Tanzania [emoji1241] na Olympics Khouriba ya [emoji1173] kusajiliwa na klabu kubwa kama Renaissance Sportive de Berkane "Wafalme wa Falme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.