Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu mwenza wa mshambuliaji mwenye ushawishi duniani CR7 anasema imemchukua miezi 6 kuzoe mazingira ya nyumba ya mmewake Binafsi sio shabiki sana wa CR7 lakini navutiwa na maisha yake nnje ya...
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Malawi hakuna club kubwa kama Simba SC Wala hakuna club yenye mashabiki wengi kama yanga. Lakini team Yao ya taifa imefanya kitu kikubwa sana AFCON 2022 Team hizi nilizozitaja zinatukwamisha...
1 Reactions
11 Replies
745 Views
Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
1. Bado mnaamini mna timu bora? 2. Bado mnaamini GSM anawahujumu? 3. Bado mnaamini mnakamiwa? 4. Bado mnaamini Simba Sc itawapa raha msimu huu kwa soka safi? 5. Bado mnaamini timu yenu ipo...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336] [emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi. Shughuli yote kwenye Simba App...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Hatua ya 32 bora kombe la Azam Sports Federation kuendelea kuunguruma leo. Yanga SC wapo dimba la CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC. Je Mbao wataweza isimamisha Yanga SC? Mtanange huu utaruka...
6 Reactions
131 Replies
9K Views
Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo. Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini...
2 Reactions
3 Replies
746 Views
Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"Yaani Viongozi wote wa Yanga SC tuje huku Tanga Wiki Moja kabla ya Mechi yetu na Coastal Union FC halafu tufungwe? Sisi ndiyo Watoto wa Mjini bhana na Michezo yote tunaijua, tunaiweza na...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa. Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Salaaam Wana JF Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021. Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi...
4 Reactions
85 Replies
6K Views
Hiyo siyo tetesi bali ni kweli Hamis Kiiza kasajiri Simba SC jioni hii.My take:Hakuna mchezaji aliye wahi kutoka Yanga kwenda Simba akapaform vzr.Unawakumbuka hawa?LUNYAMILA,MMACHINGA,MATHIAS...
0 Reactions
67 Replies
12K Views
Back
Top Bottom