Hassan zhou
Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika...
KOCHA wa ARSENAL, Mikel Arteta amesafiri kwenda Amerika kukutana na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke huku akiwania kusajiliwa kwa wachezaji wapya.
Habari hii imedhaminiwa na dar racing game...
Updates: Hatimaye ametangazwa rasmi. Raia hawajalala,ni saa 6 usiku lakini ndani ya dakika 5 comments zaidi ya elfu 2
Chikwende leaves for Tanzania
BY TERRY MADYAUTA
FC PLATINUM striker...
Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu
Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four...
Mshambuliaji aliyetupiwa virago na klabu ya Simba, Hamisi Kiiza amesema timu hiyo ya Simba haiwezi kupata mafanikio hata kama itawasajili wachezaji wote wanaofanya vizuri Tanzania, na...
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia.
Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi...
Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na...
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi, kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi.
Hizi...
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho...
Wasalamu in the name of football.
Kuna haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa wa kwanini hatufanikiwi katika mpira wa miguu hasa timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars.
Ni aibu sana, watanzania...
Tukiwa tunaendelea na ligue ya NBC kwenye mzunguko wa 13 hatimaye takwimu za timu ambazo zinapiga pasi nyingi uwanjani pia zimetolewa Kama ifuatavyo
1. Young Africans ___pasi .5130
2. Azam fc...
Pichani, huyo mwamba anaitwa Richard Justine,ndiye kit manager wa Malawi National team.
Mwamba panga pangua,hiyo nafasi ya kit manager humtoi,kama kazaliwa nayo vile,ni moja ya watu muhimu sana...
Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi .
Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon...
Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k)
Ubora duni wa waamuzi
Pira bovu...
BAADHI ya majina ya mastaa wakubwa kabisa kwenye soka yatakubali kujiunga na klabu yoyote wanayotaka kuanzia keshokutwa Jumamosi na hakuna kitu kitafanywa na klabu zao za sasa kuzuia jambo hilo...
Sijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi
NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika...
Ili utokea Sare / Suluhu na Yanga SC Mfumo huu wa 4-5-1 unafaa kama kweli Wachezaji wako wakiuzingatia.
Upoje?
Ni kwamba unachezesha Mabeki mahiri Wanne huku ukiwajaza katikati Viungo wote...
Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.