Anaandika Mdau Wa Ngumi Za Kulipwa Jay Msangi
.
Wacha inyeshe tuone panapovuja ila kiukweli huu uchaguzi wacha ufanyike ila batili na watu wakitaka kuupinga mahakamani unaweza ukafutwa kabisa...
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL...
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo...
UTV kuna mechi kati ya Brentford na wolves lkn wakat mechi inaendelea tukapitishiwa maandish chini yakieleza kuwa mechi itaendelea ZBC2 ili pale UTV waendelee na taarifa ya habar.
Nisichojua ni...
Kutokana na na hadhi ya majina yake, nashauri viwanja hivi vipanuliwe na viboreshwe keundana inayoendana na hadhi majina yake:
(1) Uwanja wa Karume - Dar
(2) Uwanja wa Sokoine - Mbeya
(3) Uwanja...
Hawa wachezaji wanaocheza ligi mbalimbali wanatuangusha miaka nenda rudi. Na tatizo kubwa utasikia nichemistry. Kwamba hawajazoeana. Nashauri tuwe na timu ya taifa kama waajiliwa rasmi. Kazi yao...
Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi...
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.
Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini...
Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya.
Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni...
Tulikuwa na kazi kubwa sana ya kuwatafuta mbadala wa akina Juma Abdul, Kelvin Yondani na mwenzake Nadir Haroub. Tukapata Job, Kibwana na Mwamnyeto
Kazi nyingine ilikuwa kupata kiungo bora kabisa...
Anakera sana huyu mtu. Sijui nani alimwabia yeye ndiye kila kitu katika hii dunia?
Halafu akiambiwa ukweli anajificha kwenye upungufu wa melanin kwenye ngozi yake (albinism) na kuanza kuomba...
Kuna aina ya mchezo imeibuka nchini hasa baada ya wachambuzi ku conclude kuwa ili kuifunga Simba unahitaji kucheza mchezo wa kutumia nguvu kupita kiasi.
Mtindo huu umeonekana kuwapa matokeo...
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya...
Salaaaam wana JF,
Nimekua kwenye tafakuri nzito ndani ya wiki hii kwenye suala la michezo ambayo kwa kiasi kikubwa inazidi kuteka hisia duniani na kufanikiwa kuiangusha tasnia ya muziki.
Ili...
Baada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata...
Kocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile...
Klabu ya Yanga[emoji617] imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wa timu hiyo Yannick Bangala[emoji1078] baada ya kuvutiwa na kiwango cha nyota huyo raia wa DR Congo[emoji1078].
Awali nyota...
Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Mhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.