Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa...
Kwa jinsi michezo ya hii timu ilivyokua raha kuitazama nitoe pendekezo kwa shirikisho kuipa credit yanga ili mechi zao zichezwe kwa dakika 120 maana ni full burudani, kwa kucheza dakika 90 tu ni...
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata...
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!
Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.
Yanga SC kama wakitaka...
Sijaanza kupokea lawama zake juzi, jana au leo na bahati nzuri au sijui mbaya Mmoja wa Wachezaji wenzake pamoja na Ndugu wa Mtaalam wake wamenipa Taarifa kamili.
Naheshimu sana Uchezaji wa...
Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo...
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba...
Kazi ya Kwanza ni majukumu yake kama kocha msaidizi
Kazi ya Pili ni kutuliza mashetani ya Pablo.
Pablo is so much in touch with his femine side yaani kajamaa kanakasirika kasirika Kila saa ili...
Kuna kitu ambacho nimegundua kwa fistom mayele
Uyu jamaa ana nyota ya kupendwa na watu
Yaani ana mvuto wa watu
Mimi nilifikiri yanga tu ndo anapendwa na watu wengi na wengine kumfurahia
Even...
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.
Shida kwetu ni nini? Nahisi...
Habari,
Pep Guardiola ametupilia mbali tuhuma za kocha wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel baada ya kusema Manchester city wana bahati ya kuwa na idadi ndogo ya wachezaji waliopata maambukizi ya...
Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki...
Baada ya kuwasili uwanja wa taifa wa jijini Dar es salaam. Mjuba alizuiwa na waandishi waliojitambulisha kuwa ni wa habari. Na mara moja wakaanza kumuuliza kuhusu tetesi za kujiunga simba kama...
Habari,
Robert Lewandowski amefungua mwaka vyema kwa kuendelea kushinda tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka zinazotokewa na FIFA ambapo alikuwa akichuana na washiriki wenzake ambao ni Lionel Messi...
Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha.
Kwamba benchi la SSC...
Majira ya saa 2 usiku Pablo Franco atambulishwa kuwa kocha mpya wa mabingwa wa nchi Simba sc club
Binafsi moja kwa moja nikaangakia CV zake nikaona inavutia achana na kuwa kocha msaidizi wa Real...
Hello JamiiForums,
Moja kwa moja kwenye mada,ndugu zangu na mashabiki wenzangu wa mpira wa miguu (football).
Naomba basi tujifunze na kuheshimu timu zingine,tuache ile hali ya kuona kuwa hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.