Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena. Kwa uhalisia yanga...
4 Reactions
79 Replies
8K Views
Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo...
14 Reactions
98 Replies
13K Views
CHIKO USHINDI[emoji1078] ATUA DAR ES SALAAM Mchezaji Mpya wa klabu ya Yanga [emoji617] Ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa amewasili Nchini muda huu akitokea Congo Dr[emoji1078] ...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Picha: Salima Mukansanga Salima Mukansanga ameweka historia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu nchini Cameroon, kwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kwenye mashindano...
1 Reactions
0 Replies
970 Views
Filamu ni moja ya kazi za sanaa zenye kuelimisha, kuburudisha na pia kuingiza kipato.Binafsi napenda sana Filamu na nafuatilia sana maendele ya fani ya filamu hapa Tanzania.Nakumbuka miaka ya...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Usiku wa kuamkia leo, nimepata njozi ya Emmanuel Okwi "Emosting" kutua Simba dirisha dogo la usajili! Sijui hii ndoto ina maana gani?
2 Reactions
19 Replies
2K Views
DILI LA MUKOKO[emoji1078] KUJIUNGA NA TP MAZEMBE [emoji246] LAKWAMA Kwa Mujibu wa @leopard_LSA wanaripoti kuwa mazungumzo kati ya Mukoko na TP Mazembe[emoji246] yamesamama kwa sababu za maslahi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
“Kabla ya mchezo wetu na Coastal Union, tutangaza watu wawili pale uwanjani Mkwakwani. Tunataka kufanya utambulisho uwanjani kama Real Madrid” Haji Manara...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨 ↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window ↪️As reported...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
Hellow JF Hivi kwa nini huyu jamaa Shiboub aliondoka pale msimbazi tena kimya kimya halafu safari hii amerudi tena??Nini kimemrudisha tena Shiboub SSC??Je ni figisu??nini ambacho kipo nyuma ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimepitia mitandao mingi ya uhakika inayoweka kumbukumbu za ubingwa wa soccer duniani. Kumbukumbu hizo zinaonesha Yanga kachukua ubingwa mara 22. Nimeweza kuenda kwenye website ya Yanga nao pia...
4 Reactions
10 Replies
898 Views
Mwamba ametambulishwa mchana huu, sasa vyura mkae mkao wa kupakatwa
18 Reactions
58 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina LA jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mm ni mdau wa mpira mzr tu pia nilipata kucheza miaka ya nyuma nikiwa mashuleni pia nikishika filimbi (referee) apaharibiki...
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Mechi ya Liverpool na Chelsea mashabiki wanatumia nusu saa tu kuingia uwanjani na uwanja unajaa sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C...
9 Reactions
103 Replies
11K Views
Mwandishi wa Champion anakera!
3 Reactions
9 Replies
753 Views
AUTH: FANANI MEDIA IG/TWITTER/FB : FANANIMEDI Mwanafalsafa, mwanafizikia na nguli wa hesabu Albert Einstein enzi za uhai wake aliwahi kunukuliwa akisema "Usifanye kazi ili kuwa mtu ulie fanikiwa...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Nikiwa na tazama mechi ya Simba na Biashara, nimeweza kumfuatilia na kumtazama kwa umakini kiungo soft kutoka Zambia Bwalya. Huyu jamaa ni copy ya Chama tofauti ni miguu wanayotumia. Anajua sana...
10 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom