Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi...
Sina shida na Kipaji chake Kikubwa alichonacho ila Kiufundi kwa Kocha Mweledi na ambaye haingiliwi na Uongozi wa Timu hawezi Kumuanzisha Clatous Chama katika Mechi za Ushindani hasa.
Hii ni Mechi...
Naaaam..!
Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi.
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo...
Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 inafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa, AzamFC dhidi ya Simba SC. Katika fainali za mwaka 2017 na 2019 timu hizi zilikutana na zote AzamFC kaibuka bingwa...
Kwakuwa tupo Kwenye Dirisha Dogo la Usajiri na Timu mbalimbali Zinauza na Kusajiri Wachezaji, Basi Huuu ni Uzi Maalumu Kwaajiri ya Taarifa zote zinazo husu Usajiri kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu...
Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.
Namshauri Kocha wa Taifa...
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!
Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la...
Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini.
Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya...
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga.
Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana...
Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka...
Aiseee jamani wana simba leo naona kabisa tunafungwa leo na azam jana kuna ndoto nimeiota aisee nimeota naona vilio vimetawala msimbazi naona kocha pablo yupo airport amepanda ndege amefukuzwa...
Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha...
Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed...
Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho.
Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa...
Katika hili wala tusifichane Simba SC ya sasa haina Wapiga Penati na hata Wapiga Faulo mahiri (kama Vicente Aboubakary wa Timu ya Taifa ya Cameroon) na Wachezaji walioko wameshatuthibitishia hilo...
Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake.
Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.