Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Greetings Wana JF! Kwa kila mpenda michezo nchini Tanzania atakubaliana na mimi kuwa Kampuni tanzu ya Azam (especially Azam TV) inayomilikiwa na Salim Bakhressa, ina mchango mkubwa sana kwenye...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Napenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi! Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki...
5 Reactions
8 Replies
921 Views
Kitendo cha Yanga kutolewa kwenye nusu fainali ilihali walikuwa na uwezo wa kuwafunga Azam, kutokana na kikosi kizito ambacho wanacho YANGA. kwa sisi wachambuzi kinaonyesha wazi kwamba yanga...
3 Reactions
77 Replies
4K Views
Zilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri. Kwa muda...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Namungo hawakuwa makini kwenye lile shambulio lililozaa goli la kwanza laiti kama wangefaulu kuzuia shambulio lile la mapema saa hizi tungekua tunaongea mengine Tukumbuke Aishi ameokoa mipira ya...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Simba wakimwacha huyu jamaa sidhani kama Yanga watafanya kosa.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hadhira mshatuaminisha kuwa Edoh David Utop anaibiwa Simba Sc na kwenda Yanga Sc Mshatuaminisha Chama anakuja Simba Sc Mmetuambia Moses Phiri anakuja Simba Sc Sawa Nawajuza Hao akina Shafii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute wanaJF, Hakika maisha yako kasi sana. Msimu uliopita John Boko alikua mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania. Ndio alikua na goli 16. Kila kona mashabiki wa Simba walimuimba kwa nyimbo nzuri...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc? Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC. Je, tutashuhudia...
5 Reactions
430 Replies
25K Views
Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu . Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Yaani kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niseme Jambo au Kitu fulani halafu nikosee au nisiwe na uhakika nalo? au nimpende Mchezaji fulani kama nimpendavyo Khalid Aucho, Yanick Bangala, Jonas Mkude...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
James Kotei aliyekuwa kiungo wa zamani wa Simba amesajiliwa rasmi na timu daraja la kwanza DTB ,hii club huko daraja la kwanza haishikiki ikiwa na wachezaji wakubwa tu Kama kina Hamis Tambwe,bila...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yuko wapi yule mshambuliaji ambaye tuliaminishwa na kamati ya usajili ya klabu ya Simba kuwa ni mahiri katika kuzifumania nyavu za mpinzani? Alisikika kiongozi mmoja wa tawi la Simba akiwaminisha...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Hatua ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup kupigwa leo. Saa 10:15 jioni, Azam FC, mabingwa mara tano wa kombe hili kupepetana na Yanga SC, mabingwa watetezi wa kombe hili. Mara ya Mwisho Azam FC...
7 Reactions
490 Replies
25K Views
Naam! ni mnyama simba akipepetana na mlandege kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi Zanzibar. Vikosi vyote viko sawa bin sawia, tayari wakisubiria muda tu ufike tupate...
5 Reactions
414 Replies
21K Views
1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze...
23 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom