Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Akihojiwa na Azam Tv kocha wa Yanga Edna Lema amesema sababu ya kufungwa ni uwepo wa makocha wa kiume kwa Simba Queens. Ikumbukwe kuwa kocha msaidizi wa Yanga ni Mohamed Hussein Mmachinga. Sijui...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Wameingiza uwanjani kikosi chao cha kwanza kamilifu woooote... kuanzia Manula..palikosekana mchezaji mmoja tu Banda ambaye yupo nchini kwao Malawi Tofauti na Yanga waliocheza na timu ya Kmkm...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Kampuni ya Star Media wamiliki wa Startimes wameshatangaza kwamba wataonyesha mechi zote 52 za AFCON Cameron kuanzia January, ila washindani wao kibiashara Azam media mpaka sasa wapo kimya. Kama...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijui anaitakia nini tasnia ya michezo, akisemwa anablock watu!
1 Reactions
13 Replies
1K Views
wasp Ukiangalia kwa mfano game ya leo Vs Mlandege SSC imepata faulo nyingi sana kwenye maeneo ambayo kama wangetumia vizuri basi wangeweza pata goli hata moja lakini hawakufanya hivyo. Timu...
4 Reactions
61 Replies
37K Views
HABARINI wanamichezo wenzangu nimeona nisikie kutoka kwenu huu mfumo wa yanga kuleta/KUSAJILI WACHEZAJI wa eneo moja. Je ina afya kwa club na wachezaji husika?? Kwa mfano eneo la mshambuliaji no...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari Jf Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kumekuwa na sintofahamu mitaa ya jangwani kwa timu hii ya wanawake baada ya kufungwa tena leo mabao la kwato la punda ,kwato la farasi mara mbili au bao la kitimoto Mara nne. Hii timu usiku huu...
2 Reactions
1 Replies
491 Views
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji. Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Leo ni Kufa Au Kupona. Mshindi lazima Apatikane kati Ya YANGA SC Vs KMKM ambaye Atakwenda Kucheza Nusu Fainali. Saa 10:15 Joni mabingwa watetezi Yanga SC kupepetana na KMKM, timu zote zilipata...
5 Reactions
301 Replies
17K Views
Hawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa. Kipindi kinaanza...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi na kamati yangu tumegoma, huyu mstaafu anakuaje na miaka 22? Yaani huyu eti nikikutana nae aniamkie? Big NO
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo. Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara...
14 Reactions
47 Replies
6K Views
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021 Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-. Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya...
17 Reactions
252 Replies
21K Views
Naangalia hpa mechi ya Azam-Namungo, yaani picha zinavyo onekana utafikir ni Kamera moja iliyowekwa juu ya jukwa, image inaoneshwa watu wako mbali, mbna mnafeli hivyo? Kwani mkiweka Kamera za...
1 Reactions
11 Replies
894 Views
Back
Top Bottom