Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika...
Bernard Morrison (Amezaliwa 20 May 1993) Ni Mchezaji maarufu wa Ghana anaechezea timu ya Simba SC kwenye Ligi ya Vodacom Premier
Bernard Morrison
Personal information
Club information...
Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani!
Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha...
Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana.
Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo...
Nina uhakika leo wachambuzi wengi walio kwenye pay roll ya timu la mchongo wanashindwa kupumua hasa jioni hii baada ya timu yao kung'olewa.
Sasa tunavyowajua inabidi msubiri mechi ya usiku ili...
Hawa jamaa mpira wanaucheza. Wana aina yao ya mpira ambayo inabaki kuwa yao. Naona toka amekuja huyu coach kama wameanza kukaa sawa. Simba wana cheza mpira mzuri wa kuvutia.
Lakini naamini sisi...
Kama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.
Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini...
Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.
Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao...
Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake.
Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena.
Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji...
"Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa...
Kwa clip aliyoipost katika ukurasa wake wa Instagram, naziimba mamlaka za nchi hii zimpime akili kijana huyu maana tunaweza tukawa tunacheka na kufurahi kumbe tunampiteza mwenzetu! Apimwe kwa haraka..
NI kitambo, Simba haikuwa na MKuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, tangu alipojiuzulu na kuhamia Jangwani, Haji Manara. Ndio, nafasi hiyo ya Manara ilikaimiwa na Ezekiel Kamwaga kwa muda wa...
Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana...
Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu...
Hivi kwa kuanzisha kipindi hiki cha kila Jumapili asubuhi na hivi ninavyoandika kinaendelea mlikuwa na lengo gani? Bin Zubbery mwenyewe na wageni wake wako biased dhidi ya timu ya Yanga...
Ninakiri kuwa sizifahamu kwa kuwa nilishaacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa kuwa vimejaa wachambuzi kanjanja wa michongo tu.
Kuna niliokuwa nawa follow insta wote nime wa unfollow.
Angalau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.