Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi...
Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm
Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo...
Habari wanajamvi na mashabiki wenzangu wa Simba SC.
Kwa nini msimu huu nimejawa zaidi na wasiwasi kuhusu usajili kuliko kawaida. Kilichonihtua hasa ni usajili mpya wa kiungo mkabaji kijana Larry...
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama...
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.
Kocha ampe nafasi zaidi..
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.
Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.
Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu...
Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media
Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki.
Ahmed Ally karibu kwenye...
Baada ya Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli 2 bila, leo Tena Saa 2:15 usiku, machampion watetezi Yanga SC kuanza mbio za kutetea taji lao kwa kukipiga na Taifa Jang'ombe, ambao walipoteza mechi...
Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo,
Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari...
Mapinduzi Cup leo Jumatano Saa 10:15 jioni, Simba SC kuanza michuano hii kwa kumenyana na Selem View ambao walipata sare tasa mechi ya kwanza.
Je, leo ni Simba ama Selem View nani kupata ushindi...
Mkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du...
Hellow JF
Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana.
Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye...
Ufunguzi umeanza leo ambapo Namungo wameanza vizuri kwa ushindi wa kuusaka ubingwa.
Simba, Yanga na Azam ndio timu zinazopigiwa chapuo kuibuka na ubingwa.
Fainali ni tarehe 13 januari pale pale...
Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa:
Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda...
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.