Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni. Taarifa...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Imezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo...
2 Reactions
86 Replies
5K Views
Zama zile za Fergie zimekwisha. Kwa sasa tulieni tu, you just another football club.
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Sheria/kanuni zipo wazi. Baada ya kukaguliwa na ku-line up kwa taratibu zingine za mchezo kukamilika, hairuhusiwi mchezaji/wachezaji kutoka nje ya uwanja. Ila nmeshangaa wachezaji wa Yanga kutoka...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiona kibendera cha offside juu kama hivi, mchezaji gani anakujia kichwani yupo offside?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa mpya zinaonyesha kwamba aliyekuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu pedeshee Phares Magessa ameangushwa kwenye uchaguzi wa chama hicho unaoendelea . Taarifa zaidi zitawajia hivi punde .....
2 Reactions
8 Replies
1K Views
kwanini walisema FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT? Ni kwasababu walijua watatokea Watu na kutaka kufananisha Kiwango na DARAJA, ila wamesahau kuwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea nikimpenda na Kumkubali Mtu kwani nina Jicho la Uhakika na la Kuona mbali pamoja na Ubora wa Mtu / Kitu. Simba SC koseeni kote ila msithubutu Kumuacha (Kumtema)...
18 Reactions
87 Replies
8K Views
Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ubingwa wa yanga msimu wa mwaka 2016/17 kadi nyekundu tisa kwa wapinzani wa yanga na penalty tisa kwa yanga Simba vs yanga kadi nyekundu #juuko mechi ya pili kadi nyekundu kwa #abdi banda Yanga...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini jamani? Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao...
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza anawajua wachezaji wa kiAfrica na anafahamu kuwaongoza. Pili ni kocha na mwalimu wa Mpira ni genius kwenye mifumo na mbinu Tff kazi kwenu
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa na muda wa kutosha kuwafuatilia kwa kina wachezaji waliosajiliwa na mabingwa wa nchi Simba sports club. Miongoni mwahao wachezaji ni Sadio Kanuti, Peter Banda na Enoc Inonga. Yote tisa...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom