Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina. Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mafanikio ya aliyekuwa kocha wetu wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu ya Simba SC akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania kwenye mashindano ya Afcon 2021. Timu imecheza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi Tanzania haijawahi kuifunga Yanga tangu ipande daraja lakini Yanga pia haijawahi kupata ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania kwenye ligi kuu tangu Polisi wapande daraja msimu wa...
5 Reactions
301 Replies
19K Views
Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Tokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama tunavyojua mnyama simba anapepetana na mtibwa sugar katika uwanja wa manungu complex Mvua kubwa Sana imenyesha maji ni mengi mengi uwanjani na nje ya uwanja Tunasubili kujua hatima ya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nabi Nesreddine kupangua safu yake ya kiungo na ushambuliaji kwa ujio wa Chicco Ushindi wa Kubanza? Chicco ni winga mwenye uwezo wa kucheza wings zote kwa uwezo mzuri tu ma ndio maana alikuwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo tuwakumbuke wachezaji ambao ni wafupi mno lakini wamewahi kusakata kabumbu vizuri sana, kuna huyu Valbuena, tuendelee na list
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Kitendo cha kufanyia kikao cha kawaida cha kamati ya utendaji ya TFF huko zenji tena kwenye hotel Verde ni ufisadi tu. Hii tabia ya hawa viongozi wa TFF inabidi sasa ikemewe. Nchi ambayo bado...
1 Reactions
11 Replies
880 Views
Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana. Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Tokea Cliuds FM waamue kumjumuisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha mchana siku ya j2 kama mchambuzi, nimekuwa nafuatilia kila nipatapo nafasi na sasa naona kama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka mjitokeze mbele ya na mpige magoti huku mkiwa mnabubujikwa na machozi na kuomba radhi wanasoka wote. Mjitokeze na mseme kwanini mlikubari dhana ya kipuuzi ya namna hiyo ipate nafasi ndani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi. Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale. Sasa...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1...
3 Reactions
8 Replies
755 Views
Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa...
20 Reactions
59 Replies
4K Views
Ili simba iweze kulevel gape la point 7 inatakiwa yanga apoteze mechi 2 na kudroo 1, ama apate droo 7 na simba ashinde mechi hizo tatu, je kwa yanga hii yenye kiu ya ubingwa inaweza kuruhusu ilo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba. Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi? Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa. Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa...
3 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom