Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi karibu zote za AFCON ya mwaka huu tu 2022, ni timu ipi kwa upande wako inayocheza mzuri, mnene, wa kuvutia kiasi kwamba hutoki kwenye siti
Kama hujabahatika...
GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na...
Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya.
Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza...
Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa...
Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka...
Mchezaji wa soka wa Manchester United Mason Greenwood ameongzewa mda zaidi wa kushikiliwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono na kutoa vitisho vya kuua.
Mchezaji huyo mwenye miaka 20 alikamatwa...
Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k.
Kikao kama kikao cha wazee...
*
BEKI wa kati wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, amekabidhiwa jukumu la kurithi mikoba ya kucheza upande wa kulia baada ya kikosi hicho kuikosa huduma ya Djuma Shaban aliyefungiwa mechi...
Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera.
Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha...
Watu wa mpira,
Haji Manara amekuwa akilialia kuhusu Shafi Dauda akiwa Simba na sasa kahamishia kilio Yanga! Mtoto wa Kariakoo anahenyeshwa na "mhaya" kama anavyopenda kumuita mwenyewe hadi anatia...
Wadau nimeona niilete mada hii hapa jamvini kuhusu hawa wachambuzi wa habari za michezo magazetini. Saleh yupo Championi na Edo yupo Mwanaspoti. Je, unavyoona nani mkali zaidi kati yao?
Ikiwa ni Muendelezo Wa Hatua Ya 32 bora Kombe La Shirikisho la Azam, Leo Ni Simba Sc Vs Dar City.
Je Ni Nani Kufuzu kwenda Hatua Ya 16 Bora?. Tuwe pamoja Hapa JF kwa Live Updates kuanzia Saa Moja...
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.
Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe...
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao...
Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele.
Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
📩 Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15).
01. ⚽ v DTB football club.
02. ⚽ + 🎯...
Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji.
Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.