Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo...
2 Reactions
9 Replies
838 Views
Nimekuwa nikisikia sifa za mchezaji wa zamani wa Yanga, Costantine Kimanda kwamba alikuwa ni mchezaji wa aina yake. Najua humu kuna wakongwe sio mbaya mkatujuza kuhusiana na mchezaji huyu wa...
2 Reactions
64 Replies
14K Views
Leo nikiwa maeneo fulani nikiwa nafuatilia mchezo wa CHAN kati ya Tanzania na Sudan nikawa napata story fupi ya mpira yenye kusisimua kuhusu mchezaji wa zamani wa Yanga marehemu mzee SAID NASSOR...
10 Reactions
46 Replies
10K Views
Leo tuwakumbuke mafundi wa mpira ambao walikuwa wana uwezo mkubwa sana wakiwa dimbani enzi za uhai wao kabla ya kutangulia mbele ya haki. Mimi naanza na huyu Said Nassoro Mwamba Kizota. Huyu...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Nimemuangalia katika mechi kadhaa toka asajiliwe Yanga, nimegundua Ali Sonso hatoshi kuwa katika jezi za Yanga. Kwasasa anacheza beki namba 3, sio mzuri sana kwenye ukabaji, lakini hata...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu kama mnavyokumbuka timu ya Kagera Sugar ilifungwa na Yanga ya Dar jumla ya Goli 6 kwa 2. Na kama mnavyokumbuka Yanga imekuwa ikishutumiwa kununua ama timu nzima au baadhi ya wachezaji ili...
3 Reactions
71 Replies
9K Views
Julai 17, 2021 Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe alithibitisha kuwa mipango ya kuanzishwa kwa African Super League ipo kwenye hatua nzuri, japo hadi sasa haijawekwa wazi...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao...
14 Reactions
69 Replies
6K Views
Nimependa hili andiko la @aadamskitundu , tulisome wote tutajifunza kitu.... Mpaka Sasa GSM Hawajafanya Malipo Yoyote Ya Kimkataba Kwa Klabu Yoyote Ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Halafu Hapo Hapo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Unahisi Captain John Bocco alikuwa anamwambia nini boss kubwa?
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex
10 Reactions
88 Replies
6K Views
Mtangazaji wa Wasafi FM, Ricardo Momo amenukuliwa katika session yake redio akidai kuwa wale wazee wa klabu waliozungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watashitaki kwa Rais Samia Suluhu...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji ( Mzungumzaji ) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA. Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom