Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.
Naomba Yanga SC ikirejea...
Chama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata...
It's wanderfull match.
Geita
Kocha minziro aliingia na plan nzuri na descpline nzuri huku akiwa na wachezaji wenye quality ya hali ya juu walifanikiwa kuizuia Yanga wasitengeneze nafasi za wazi ...
Simba SC Ina peperusha bendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na Watanzania wote.
Kitendo cha Hersi Said kuipongeza Berkane sio TU...
Wakuu NAomba Kujua.
.
Naonaga Kila Mechi Ikiisha Watangazaji wa Azam Media wanawahoji wachezaji/Makocha wa Mechi Husika.
.
Ila ts second time Naona Mechi za Azam zikimalizika Wachezaji au Makocha...
Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM...
Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
Mwanariadha wa Kimataifa kutoka Kenya, Eliud Ameshinda Tokyo Marathon Kwa muda 2:02:40 huko Japan, Hadi Sasa Ameshinda Mashindano Makubwa manne (4), anatarajiwa kushiriki Boston Marathon...
Ni mechi kubwa kwa wapenzi wa soka wa Kanda ya Ziwa. Geita Gold itakuwa inawakaribisha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba pale jijini Mwanza.
Geita imehamishia...
Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka...
Manchester United inatarajiwa kumkosa mshambuliaji wake mkongwe, Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Manchester City, leo Jumapili Machi 6, 2022 kutokana na kuwa majeruhi.
Hizo ni taarifa...
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi...
Kwa kikosi hiki, there is high likelihood ya kukosa hata pointi moja. Kama bado hujala chakula basi nakupa pole coz unaweza kutokula leo especially baada ya mechi
Ombi langu kwa wadau wa MICHEZO nchini hususan media zenye ushawishi mkubwa hasa Azam tv,Startimes,na DStv kuanzisha television maalum ya MICHEZO ya mapigano.Tunaimani kuwa Kama Taifa la Tanzania...
Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu.
Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu...
Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.
Mashindano makubwa hasa kwa...
TIMU za Taifa za mchezo wa Pooltable Waanaume na Wanawake wamefanikiwa kuingia nusu fainali baada kuvuka hatua na makundi kwa timu za Wanaume na Wanawake.
Timu ya Wanaume imefanikiwa kuingia nusu...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeiamuru Urusi kucheza Mechi bila Bendera na Wimbo wa Taifa katika viwanja visivyoegemea upande wowote, ikionya huenda Nchi hiyo ikaondolewa kwenye mashindano...
Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.