Mashabiki wa Simba SC na Wadau wa soka, upi uchambuzi wako kuelekea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane, utakaofanyika Jumapili ya March 13 kundi D kwenye dimba...
Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika
Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa...
Kabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.
Jana...
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika.
Wababe wa Misri, Al Ahly...
Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea.
Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane (57) raia wa Afrika Kusini ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2023/24.
Mosimane...
Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa...
Sio Mimi ni priva
Yaani timu 20 za epl+ 20 za Seria A + 20 za ligi 1 +20 za la liga +18 za Bundasliga =98 maanake Simba anamreplace moja hapo
This is Simba ladies and gentlemen
Ni jambo zuri na la kiungwana kabisa pale utakaposikia mgeni atakuja kwa jirani yako wewe unafanya maandalizi ya kwenda kumpokea stendi au uwanja wa ndege bila hata kupata rukhusa ya jirani yako...
Hii klabu ilianza mwaka 1905 na mkongwe tokea kuanzishwa kwake.
ila vikwazo ambavo vimekuja kuathiri kutokana mgogoro wa urusi na ukrain kwa kuwa mzamini wake abromovich kuwa karibu na putin ! au...
Ingia You tube Mcheki mtu anayekwenda kwa Jina La Charlie Champlin utacheka saana , huyu jamaa ukimtafakari Vituko vyake kama HAMNAZO hivi..!
Sasa Timu ya Wenye akili kama huyu jamaa inakipiga...
Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022...
Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam.
Dalali alianguka na Bodaboda...
Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa...
Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo...
Saaaaam Wana Jf
Natumaini ya kuwa tupo salama na tunaendelea kusherekea ushindi tulioupata kwa Dodoma jiji ingawa goli moja la chama tulilipata baada ya kupiga mpira upiokufa...
Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea
=============================
Roman Abromovich leo ame confirm habari...
Ni kweli Simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.