Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wajuzi tuambieni kwanini shughuli za mchezo wa mpira England umeingiliwa na wanasiasa kutokana na vita ya Russia na Ukraine?
1 Reactions
7 Replies
986 Views
Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kocha Msaidizi wa Namungo FC, Jamhuri Kihwelo Julio, amelalamikia kipengere cha mchezaji wa mkopo kutocheza wakati timu hizo zinapokutana. "Mpira wa Afrika una mambo mengi ya kishamba utakuta...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
NAJUA WAJUA ILA NATAKA KUKUJUZA ZAIDI NA ZAIDI KUHUSU CAF INTERCLUB. Na: Hashim Mbaga. 14/03/2022 USHIRIKI WA TIMU ZA TANZANIA KUPATA UWAKILISHI WA TIMU NNE MISIMU IJAYO. Tanzania katika...
18 Reactions
43 Replies
4K Views
UONGOZI wa klabu ya Yanga umefichua sababu za kuwasajili wachezaji kwa mikataba mifupi ni kutokana na mifumo ya soka hapa nchini ilivyo. Klabu nyingi za Tanzania zimekuwa na utaratibu wa kuwapa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hiyo FC Vizela inashiriki ligi kuu Portugue
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunaangalia mchezo unaooneshwa mubashara kupitia Azam sports hd1...ligi kuu tz Kati ya Azam fc dhid ya Namungo fc. Changamoto ni rangi ya jezi ya timu zote. Azam wamevaa blue huku Namungo wamevaa...
2 Reactions
10 Replies
880 Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League, kupigwa leo March 16, 2022 kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi, huku vita kubwa ikiwa ni kuwania nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi. Namungo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri. Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie. GSM nawapongeza wanajua kutujali...
5 Reactions
12 Replies
844 Views
Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana .... Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia. Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana. Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu je!? ni kiasi gani hupatiwa kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi upande wa shirikisho Africa. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko...
13 Reactions
43 Replies
10K Views
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao. Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba)...
9 Reactions
138 Replies
7K Views
Back
Top Bottom