Habari ya jumapili waungwana
kweli leo nimeamin milima haikutani ila binadamu hukutana....leo nilishiriki ibada mbezi beach kanisa nalihifadhi jina..wakati natoka kanisan eneo la mlangoni ili...
Unalala unaota umeokota hela, ukiamka huna kitu, Mara nyingine unaota umeokota dhahabu, ukiamka unajikuta wewe bado lofa Tu, " Sasa itokee unaota eti unakojoa, ukiamka Tu, Imoooooo!.
.
Lissu; Taja majina yako kwa ajili ya kumbukumbu
Makonda; Paul Christian, Makonda
Lissu; unaweza kuiambia mahakama juzi ulikula chakula gani ahsubh, mchana na jioni?
Wakili wa Makonda...
frankgalos upo wapi?
Huyu jamaa alikua yupo vizuri kwa masuala ya computer, pamoja web development kwa mafunzo mazuri sana naona nafasi imechukuliwa kwa wakali hawa:
CHIEF MKWAWA
Mwl.RCT
Na wengi...
Unakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st. Kayumba utakuwa una aidia na haya…
1. Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaji unaamua urudi nyumbani.
2. Unachukua kimbegu...
I had a girl that would've died for me..
Didnt 'preciate her so I made her cry for me..
Every night she had tears in her eyes for me..
Caught a case, shawty took the whole ride for me..
First we...
Sijajua kama umo humu,lakini huu ni ujumbe wako kwa siku hii ya leo,nakutumia ujumbe huu nahisi upo humu Jf maana una akili sana,kila mwaka nimekuwa nikikutumia keki ya siku hii ya leo popote...
Wadada wa bongo bana, Utawasikia:
Wanaume wa siku hizi hambebekiiii hata mkibebwa mgongoni mnachana mbeleko"
Jamani kwani wanaume wa zamani wameishaa? Wapo wengi tuuu wakina Kingunge, Malechela...
Nimekaa na kuwaza kutokana na Hali halisi ya sasa hivi nchini Tanzania unaweza pata mke bikra ukamwoa ??? Na si mnajua mke halali kiserikali ni miaka 18 je wapo bikra siku hizi????
Ohh kumbe yeye basi sawaaa ...aseee wana jukwaa habari zenu !!!!!!!
nimekuja hapa kwa shida moja tuu asee ....nmetokea kumpenda huyu manzi sasa dah shida kumpata...yaani...
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za...
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale...
KWA WANAUME:
[emoji109]Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia...