JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi
Wadad wanasemaga mwanaume anatakiw awe gentlemen. Siwaelewi. Nsaidien gentlemen ni mtu wa aina gani??
0 Reactions
11 Replies
1K Views
....
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari Je kuna mtu unajua sehemu ilipo office za Africa Climate Change Resilience Fund(ACCRF) hapa dar
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Heri wenzangu na mimi! Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji
2 Reactions
188 Replies
8K Views
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu "tayari nina mpenzi wangu" pale unavyotongoza? kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?
3 Reactions
79 Replies
10K Views
waungwana mwenye kujua program ambayo naweza nikainstall kwa laptop ikaniwezesha kuangalia movie online na kupakua.... naomba anijuze....
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Basi nimepita maeneo ya Buguruni kwenye msiba, Punde Kuna mtoto alikuwa anapita na babu yake karibia na Msiba, akaona watu wanalia, akamuuliza babu yake, Eti na hawa wote hawana vyeti mbona...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haujakosa kitu, Tumia kile nilichokupa -MUNGU
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hemu tuone wangapi wanajua kithungu wajib
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu leo ni siku ya wanawake duniani na hivyo basi leo nataka tumpate malkia wa nguvu wa JF . Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF? Twende kazi.
0 Reactions
91 Replies
6K Views
"Safari ya chizi siku zote huwa ndeeefu lakini mwisho wa siku anarudi na makopo" JERRY MURO Usiku mwema Mikia wa msimbazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
5 Replies
3K Views
hata cjui kwa nini ,labda kwa sababu tunafanana ID..nampenda tu lakin(SIYO KIMAPENZI BAUNGWANA MSINISHAMBULIE BURE) NASISITIZA TENA SIY KMAPENZI MANA WATANGANYIKA MKISIKIA KUPENDA MNAWAZA MENGINE TU
0 Reactions
106 Replies
6K Views
Pamoja wakuu!! Nina safari ya mwanza kesho kutokea kahama, sina mtu ninaefahamiana nae huko niendako na nitakuwepo kwa zaidi ya miezi 2 kikazi. Naomba kwa wadau walioko humu wa mwanza naja...
0 Reactions
8 Replies
790 Views
Nauliza tu wanajamvi hivi wachawi wa JF kama vile mshana jr,rakims,mzizi mkavu na mtu mzito wanashindwa kuwaloga mods ili wasipewe ban? Pia ni kweli hawawezi kupiga ramli kugundua id's za member...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu leo tutaje great thinkers na villazer wa JF ili kwa wale great thinkers waendelee kutema nondo na wale villazer wabadilike Hapa unatakiwa kutaja great thinker mmoja na killazer mmoja Kwa...
3 Reactions
109 Replies
6K Views
Nimekuwa naumizwa sana na hali ya mrembo Joketi kukosa mwanaume wa maana. Ambaye wataweza kujenga naye future na sio kuchezewa kama hawa wakina Ali Kiba ambao hawana future...... Kwa ujumbe huu...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
habar yenu nyote wakuu... nawaalika nyote tumulike kwa kujadiliana, ni sababu zipi zinapelekea watu wengi kuvutika na habari zisizo na mashiko ktk kubadili maisha yetu kiuchumi..... wanaouza...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
[emoji175] NAIRUDIA HII KWAAJILI YAKO WEWE! [emoji175] [emoji673]Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba, ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, [emoji673]Unamjua mwili wake kama...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…