JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia, we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.* *Shauri yako we endelea kubweka tu"
1 Reactions
3 Replies
983 Views
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah...
32 Reactions
293 Replies
16K Views
Tangu Ijumaa nimemtafuta mdogo wangu Mshana jr. haonekani, hajibu vijembe, wala pm yupo wapi?. Kuna uzi umekuja kama utani lakini mimi nipo serious naomba Mshana ajitokeze sababu kuna uzi...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Bill Gates ana USD billioni 90 hana kitambi, Mohammed Dewji ana USD billion 1.3 hana kitambi, Mark Zuckerberg ana USD billion 54 hana kitambi, Amancio Ortega ana USD billion 74 hana kitambi, Aliko...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Yupo abiria anayemtukana Konda ...lakini kumbe nauli ameacha nyumbani. yupo aliyepitiwa na usingizi...huyu anapokurupuka hajielewi....utasikia shushaaaa bwege wee!..........anashushwa kambi ya...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Darasa aliwafunika Dimpoz na Kiba kisha Diamond na Rich mavoko kisha Diamond na NEYO bado darasa aliendelea kuwakimbiza....Darasa akaja kumezwa na Bashite. Mpaka wakaja na ujanja wa msaada new...
2 Reactions
3 Replies
922 Views
Kuna siku nilichelewa kurudi nyumbani!dingi akanikata stick nyingi sana akaniambia hakuna kula mchana!mtembezi hula miguu yake,afu mama ndio alikua anaepua maharage jikono na kitu cha wali kilikua...
6 Reactions
2 Replies
961 Views
ivii kuna tofauti kati ya kiongozi na muongozaji???
0 Reactions
3 Replies
625 Views
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa! Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Hahahaha Daaaaaah Tanzania raha sanaaa ukizingua kdgo sahv yafaa utuoneshe vyeti vyakoo Wachaa manenoooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
3 Replies
790 Views
Jesus Christ- The Son of God/ Our Lord and Saviour Jacob son Isaac and Rebekah Julius Ceaser Juius Nyerere Jacob Zuma James Bond John Paul II Janet Jackson Jakaya Kikwete Jakaya Mwambi John Komba...
3 Reactions
52 Replies
24K Views
Tokea sakata la daudi lianze sio mtani sio shule kila mahali ukichangia mada watu hawataki kuelewa wanataka kuona vyeti kwanza huyu bwana mmoja ametuletea balaa huku mtaani
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Imekua kawaida sana na kuaminika kwamba njia sahihi ya kutoa adhabu ni kushushia kichapo kwa watoto wetu, wadogo zetu, wanafunzi wetu hata wapenzi wetu, Kuna utafiti uliofanyika ukionyesha kwamba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya...
8 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi. Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ushawahi kumpenda msichana mpaka inafikia wakati unaenda kumuona baba yake na unaamua kumpongeza kwa kufanya mapenzi bila kuwa condom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MAMBO KUMI(10 ) NINAYOJIFUNZA JANUARY 1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa. 2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini. 3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini. 4...
3 Reactions
7 Replies
888 Views
Kuna jamaa alivamia chakula, kapiga tonge la kwanza watu wakamwalia, kapiga la pili watu wakaguna mmmmhh..! Akapiga tonge la tatu mshikaji mmoja jemedali akamkung'utisha mkono kwenye sahani la...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…