Habarini jf members, nakuja mbele zenu kuomba msaada wa dawa ya kupunguza au kutibu kabisa ulevi wa jamii forum, nimekua mtumwa wa kukesha jf haipiti nusu SAA sijaingia jf, hata nisipo toa post...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Iv ni kwanini ukiingiza demu gheto kabula ya kuangalia yote hupenda sana kutupa jicho kitandan kabula ya kuangalia sehemu nyingine,
Kwanini waanzie kuangalia...
Nimeona watu wakitoa maoni tofauti pale Rais anapo kua na urafiki na Rais mwingine wakiamini urafiki wa hawa wakubwa ni urafiki wa nchi hizo mbili.
Sasa nataka kuuliza wewe mwanajamii forum...
Kila nikilog in jf nakuta huyu mtu kalimwa ban anaitwa
1.Kenzy
2.snipes
3.rais20
Yaan lazimaa sijui huwa wanaandika nini hawa watu mpaka wanafungiwa hasa Kenzy ,,,kama nawe unawajua wengine watajee
SWALI: Nini maana ya matatizo..?
JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya Tu
Mara...
MASHARTI ……...!!
1. Hakuna matusi!
2. Unaandika sentens kwa kuanza na neno la mwisho la mchangiaji aliyepita...mfano "Mama anapika" kama ww ndiye unafuata unaanza na neno "anapika".....Anapika...
*WASANII WAFUATAO
WANATAKIWA NA MAKONDA
JUMATATU*
Christian bella
Dimond
Ally kiba Dogo janja
Chege
Jack wolper
Iren uoya
Madee
Baraka tino
wasanii hawa wanatakiwa na
makonda wa daladala za...
Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na...
Nawashukuru wakuu.nimejitahid kuwahi ili niweze kupata seat [emoji575] karibu na ya mbele lkni zoote zimejaa.hakuna hakuna kilichoharibika.nitakuwa namuona mtumishi wa Mungu kwa mbaaal.ninaaman...
Habari ya muda huu GF.natumai mko salama nyote.straight to the point..
Mungu akinijaalia uzima kesho nitakwenda kwa mwl mwakasege kupata neno la Mungu.lakin shida iliyopo kwangu ni kwamba sijui...
Mi nimezaliwa Mwanza na sikuwai kufika Misungwi. Leo nimeamua kwenda kutembea uko Misungwi.
Ninania ya kukutana na wananzengwe ili nijue historia ya Daudi Bashite. Nimechoka kusikia habari za...
Naendeleza Ubashite kwa aliyetayari, maana nimesoma kwa zaidi ya miaka 16 lakini serikali haijathamini kazi niliyoifanya kuhangaika kwa miaka yote.
Kwa aliyetayari karibuni sana.
Habarini wakuu!!
Ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi humu ndani hvyo tusameheane kwa mapungufu yatakayo jitokeza!!
Napendelea sana kuingia youtube kufatilia mambo mbalimbali,ktk pitapita zngu...