JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na...
0 Reactions
64 Replies
3K Views
"kauli ya mtu inaweza kukutoa gizani na kugundua ukweli uliopo ndani yake, lakini kama hutakuwa makini, unaweza kuchukulia kama utani na kuuacha ukweli uendelee,
2 Reactions
0 Replies
619 Views
CocaCola Bashite, 100% alcohol, for 25+ only.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CocaCola Bashite, 100% alcohol, for 25+ only.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaani kwangu kuna makelele ya mwizi mwizi wa kuku. Baba wa mtaa kauchuna manake na yeye ameiba ng'ombe. Amenikumbusha mfalme Daudi na Nabii Nathani. Tunywe maji tu wanamtaa.
0 Reactions
5 Replies
772 Views
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu, Bila kupoteza muda, Ningependa nianze na historia kidogo. Nina rafiki yangu naweza sema ni the best friend I have, tulikutana miaka ya nyuma kipindi tunasoma a level kama miaka 12...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
1 Reactions
2 Replies
595 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah kuna demu wa kishua Nina mpenda ila mwaka wa pili sasa sijaonana naye tuna chat tu Lisa kwao awamruhusu kutembea peke yake wadau
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini wakuu? Natumaini kama umefanikiwa kusoma ujumbe huu we ni mzima wa afya. Kama title inavyojieleza hapo juu kwanza nianze kwa kuomba ushauri mimi ni kijana wa umri wa kati nilianza kunywa...
0 Reactions
95 Replies
19K Views
Katika mwendelezo wa ndoto na Leo nimelala nikaota kuwa natakiwa kusambaza damu yangu duniani na kutengeneza dunia yangu kwa kusambaza damu yangu ulimwenguni kwanza nianze na Tanzania kuanzia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama umezaliwa tarehe 29 mwez Feb,siku yako ya Ku zaliwa haipo kwa mwaka huu 2017 na badala yake subiri hadi mwaka 2018.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KTK KUUFUNGA MWAKA '2016' NA KUUKARIBISHA '2017' ----------------------------------------- Vifuatavyo ni Vipengele vya 'TUZO' zinazoshindaniwa JF kwa mwaka 2016 kabla ya mwaka Kuisha.. ...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Na wale watu walikua wanajifanya kujua hesabu hebu mniambie HOW MANY GRAMS MAKE ONE INSTAGRAM..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] # SIJakunywa kitu leo.....
1 Reactions
3 Replies
1K Views
_Wachungaji wa baadhi ya madhehebu ya ki kristo nchini wamewaonya waumini wao kutoimba pambio la *"simba wa yuda anaunguruma"* katika ibada zitakazo endelea jumaapili ili kuhatarisha usalama wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*WHEN TO BE SILENT* 1. Be silent - in the heat of anger. 2. Be silent - when you don't have all the facts. 3. Be silent - when you haven't verified the story. 4. Be silent - if your words...
2 Reactions
1 Replies
655 Views
Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata NGONO tena kwa bei nafuu. Unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250. Ina maana kwa mwezi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Eti kuji-bashite ndo kulala Au kujuBashtishe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
GUYS KUNA NYUMBA INAUZWA MILIONI 8 IPO VIZURII INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, CHOO CHA PUBLIC, SEBULE, FENSI, PARKING IPO.. *INAALAMA YA X SEMA INAFUTIKA*
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…