JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu Salam kwenu. Wale wa Songea , Songea yetu ya wangoni, wamatengo, wayao na wengine wengi, wale tunaopita njombe, Lilondo, madaba, mkongotema, shule ya Tanga, mbinga, Nyasa, mbambabay, lituhi...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
kuna mwanadada ninaishi jirani nae baas huyu amekuwa ananinyima usingizi kwa kipindi cha nusu mwaka sasa,nimejaribu kutupa mawe kipindi choote lakini wapi Tatizo yeye anafahamu vizuuri kabisa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi wakuu hivi vitu shule,za mising nchini kwetu bado vipo? Mana zaman miaka ile,(mimi nasoma primary 2002 to 2008) vilikuwepo na vilikuwa poa sana tumefanya wakuu,miaka ile mambo meng ya...
1 Reactions
2 Replies
702 Views
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu...
10 Reactions
5 Replies
1K Views
Mipango yangu ilikua kuoa mzungu, nimesitisha kwa sababu moja kubwa, raha ya ndoa ni umbea, mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili, bosi, alafu mnafanya tendo kisha mnalala, nikioa...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
tekno huyo hapa diana,duro,rara,wash,where,pana, dahh jamaa wacha awale tu warembo anajua sana hits non stop thread imedhaminiwa na wine ya mzee wa upako......twendeee weee hahaha
0 Reactions
3 Replies
503 Views
kiba alitisha kunogesha wimbo wa avelina alafu simba wa hip hop akaja kuuwa yan shemej avelina mwambie shuu mi hali sina ,nguvu sina.......weeeee asanteeee hahaha
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Hivi wakuu hivi vitu shule,za mising nchini kwetu bado vipo? Mana zaman miaka ile,(mimi nasoma primary 2002 to 2008) vilikuwepo na vilikuwa poa sana tumefanya wakuu,miaka ile mambo meng ya...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Fahari ya kijana ni nguvu zake, Fahari ya mwanaume ni walet, Fahari ya wazee ni kichwa chenye mvi, Fahari ya mwanamke ni.......
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Amazing Facts [emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni [emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini [emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye...
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Sijajua lengo la hii shughuli ni nini...!
0 Reactions
0 Replies
618 Views
njoeni hapa nimewaona online team mafisi team mawindo wote
1 Reactions
12 Replies
875 Views
nawatembelea shy town kesho kutwa kutoka dar,mliopo humu naomben kampan wenyej i mean hasa mabebez.au nitajien viwanja vyenu vya starehe kama club nk.na machimbo ya malaya classic vipi mnayo
0 Reactions
12 Replies
5K Views
_Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?" Mme,"ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
MKE: Honey naomba unisaidie kitu. MUME: chochote mke wangu nitakufanyia, unajua nakupenda.. MKE: Naomba ukaue Chatu, na kisha chui halafu uniletee ngozi zao. MUME: Hivi wewe unakichaa, ndio...
2 Reactions
0 Replies
974 Views
0 Reactions
24 Replies
5K Views
[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
2 Replies
908 Views
Bi harusi mpya siku ya kwanza anapewa lecture na Mama Mkwe wake,Sheria Na katiba za Nyumbani. Mama Mkwe anasema mimi ndio Waziri mkuu wa nyumba hii. Baba Mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hakivile hata siamini ati kila nikiangalia kwa pm yangu sikuti hata text ya manzi moja wajua navile nipohb mpaka hii jina yangu navile nikiweka picha hapa nikama movie star tena muhogo ninayo ni...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
mazoea yasiyo na mpango kwa watu ni kitu kibaya sana hasa usiowajua......ndiomana bill nas amewachana na fa sitaki mazoea inapotolewa thread humu na ukaona huna ulazima wakuchangia kwann usiishie...
0 Reactions
7 Replies
922 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…