Ciello
Samahani sana wapenzi wa JF chit chat, kwa ukimya wa muda mrefu. Leo mjengoni nipo na Ciello, mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi Novemba 2012 ,ambaye kutokana na ushindi wake huo...
Hii ni guest gani??Na huyu mwenye hii guest aliwaza nini na wateja wake niwaina gani?? maana sidhani unanyumba yako umeamua kuwekeza katika nyumba za wageni unaweka kitu kama hiki yumkini akili...
HAPPY VALENTINE DAY Leo sasa kama hujawekwa profile picture usipaniki kunywa maji mengi nenda kukojoa[emoji23] ukikuta no call wala text kunywa maji mengi kakojoe[emoji23][emoji23] UKIZIMIWA CM...
Wandugu kama mjuavyo Leo ni siku maalum ya wanaopendanao.
Kwangu mm ni siku ya upweke kwa kuwa baba watoto aliitwa na makonda mpaka Leo hajarudi.
Nahitaji company kwa mwanaume yyte ambaye hana...
Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara...
Baada ya wanandoa (mke na mume) kuishi
maisha ya ugomvi kwa muda mrefu, siku
moja mume akampiga sana mkewe, mkewe
kakimbilia kituo cha polisi mambo yakawa
hivi;
mke: Afande nimepigwa sana nusu...
Napenda kuwatakia siku njema, enjoy kwa kiwango....tusherekee vizuri tuwakumbuke na kuwasaidia yatima, walemavu, watu wasiojiweza na wengine wote wanaohitaji upendo wetu hasa siku ya leo.
Kuna vitu vingine ni vya aibu sana mtu mzima ukivifanya utaibika.
Leo nimeenda chooni huku chuoni kwetu basi bhaana kuna mtu kajisaidia haja kubwa yananuka ile kisela lakini hajaaflash wala nini...
Za asubuhi wana-JF
Nashangaa eti hata mimi nimeonekana nauza ngada kisa tu mali hutu tuchache nilitonato. Aaaah siyo kesi nitaenda kuwasikiliza wanasemaje
Jamanii pepsi ina nini ,,ile ya 500 ,acha ile peps diet ile yenyewee jamani wameweka tuninii ,,nikiiona tu natamani kunywaa jamani,,leo nimejikaza siku nzima sijanywa naona siku ndefu wallah,,na...
Leo ni siku ya wapendanao,nimesikia media zikiongea sana,"upendo mubashara"nijuavyo upendo siyo maneno ni vitendo,siyo kulazimishwa kumpenda mtu hata kama hakutendei lile unalotaka,sawa leo ni...
Hello wana Jf,
Leo nimekumbuka saana kisa kimoja kilichowahi kunikumba nikiwa magestini na mtoto wa jirani,
Ilikua hivii:
Ilikua ni jioni ya weekend yenye shangwe kibao mtaani kwangu, c...
[emoji57]
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kumuomba demu wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu...