Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hawa machawa wakiongozwa na chawa mkuu Mwijaku wanafanya mji unachangamka sana yaani hii style ya kusifia watu wazito na vimisemo misemo flani hivi...
Hebu tujaribu udadisi huu kidogo. Mimi nilizaaliwa miaka kadhaa iliyopita leo nimegundua siku na tarehe zimejirudia ila mwaka na mwezi ni tofauti; je, ndugu zangu mnajua nimezaliwa mwaka gani...
SHARUBU; Kuna Shabiki wa Yanga humo Nije ????ππ€£π€ͺππ
WATALII; Hapana Mkuu, Sisi ni Mashabiki wa MAMELOD tumetoka Nchi za Mbali, tumekuja kuliamsha Dude kwa Mkapa tarehe 30 dhidi ya Hao Yanga...
Wakati huo wimbo huo unatoka (y tony-masebene) nilikuwa ni playboy kiukweli.....kwahiyo nilikuwa sielewi nni kimeimbwa humo..
Ila baada ya kuhamia timu WAPENDANAO ..nimeanza kuelewa maana...
Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa.
Kisa cha mganga:
nilikwenda kwa mganga...
Hello wana Chitchat!
Ninaomba mpokee taarifa ya mahusiano mapya kati ya Elizabeth Dominic na Ben Saanane kuanzia leo.
Nimeyafiki mapinduzi haya kwa kuwa Madame B anamiliki SACCOS ya wanaume wakati...
Binafsi tangu nakua nime experience maeneo mengi sana jijini dsm kwa kiwango chake na pengine kusimuliwa stories na washua kadhaa kwa maeneo/cinemas na viwanja matata vilivyokuwepo enzi hizo kwa...
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!
Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu...
Habari.
Imani Yangu Wote Mnaendelea Vyema Na Majukumu Ya Kila Siku.
Turudi Kwenye Mada Hapo Juu Kuhusu Lifestyle Ya Mwanamke Ndio Itaamua Mwanamke Kuolewa Au Kutokuolewa.
Wanawake Wengi...
Wakuu ukiambiwa utoke na nani jf utatoka naye mie sina akilini bado kwa maana kila mtu humu anawake nisije logwa nikasumbuka kutafuta k yangu iko wapi?
Kama umelelewa na ndugu, watu baki, au na mama pekee au baba pekee kutokana na kufiwa na mama, au baba ama wazazi wote. Tuwakumbuke na kuwaombea waendelee kulala mahali pema peponi. Nasi tutafuata...
π€ππ....kosa linalorudiwa zaidi ya mara moja ni uamuzi. Kosa linalorudiwa zaidi ya mara mbili ni tabia. Kosa linalorudiwa mara tatu zaidi ni tabian
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam
Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa...