JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Habar Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo Wa “lavalava -habibi” #maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]
7 Reactions
190 Replies
11K Views
Jamaa yangu kaomba ushauri
2 Reactions
4 Replies
274 Views
Wadau hamjamboni nyote Nawaletea maeneo yenye kitimoto nzuri sana maeneo ya Tegeta/ MbeziBeach/ Kunduchi 1. Family bar Tegeta mbele ya Azania bank 2. Skanska njia ya kwenda IPTL 3. Bushman pub...
10 Reactions
72 Replies
3K Views
Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa Ni mpambano wa wanawake wa Dar...
19 Reactions
274 Replies
41K Views
Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii. Kwanza...
7 Reactions
90 Replies
5K Views
Namtafuta rafiki rafiki rafikii Rafiki yako naani naani naanii Rafiki yangu Meendee Meendee Meendee Huu mti gani, wa mchongoma Nikiukata haukatiki Hata kwa panga, haukatiki Hata kwa shoka, haukatiki.
41 Reactions
469 Replies
60K Views
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa. Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea. Jamani MS...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Mji wa kitalii umedesigniwa kwa ajili ya wageni kuspend, kutumia pesa. Pia kwa ajili ya labour vibarua wa kujenga. Swali je mnaoishi huu mji mnaishije ni mishe gani inaweza ikakuweka zaidi ya...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ama nianzie 40/40 pale Tabata Bima ama The great park pale Barakuda ama Kwetu pazuri ingawa haina shangwe now days ama Makhirikhiri kule Kinyerezi? Ungana nami jioni ya Leo nikiwa Tabata kwa...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Nanukuu "Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk. Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk...
23 Reactions
70 Replies
2K Views
Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu. Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Woman goes viral after buying her man anything he wants‼️
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No. Mpira ni sayansi, hata...
10 Reactions
190 Replies
11K Views
Una samaki 3. Wawili wakazama. Unabaki na samaki wangapi? Embu tuvunje hii chemsha bongo wana JF. Jibu langu anabaki samaki mmoja!
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Haya Ma-Genius kazi kwenu,
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom