JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
1 Reactions
8 Replies
413 Views
Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Asalam aleykum Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
4 Reactions
15 Replies
919 Views
Here we go again peace and emotion all up in your face,about to walk away... both our hearts are broken but the moment your gone all my colors fade, the bullets and liqour start to ricochet,I am...
4 Reactions
129 Replies
5K Views
Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC...
7 Reactions
20 Replies
764 Views
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita. Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Yani eti sasa hivi nimekamata hela ndefu billion na ushee kitakachotokea vizazi na vizazi vitasimulia. Natinga pale kambini lugalo nimevaa magwanda ya kijeshi la marekani yenye bendera ya...
10 Reactions
17 Replies
778 Views
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu. I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
8 Reactions
9 Replies
824 Views
Wakuu kwa mnaoifahamu Dodoma vizuri hapa Kambarage Tower napata wapi Gesti za bei nafuu.
1 Reactions
2 Replies
424 Views
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂 Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?
3 Reactions
24 Replies
702 Views
Namtafta sana huyu jamaaa lastseen yake ni December Kama una ID nyingine nitafute broo Pia kuna mtu anaitwa Captain chui mchafu (telegram) Wagadawagada (telegram) Mmoja wapo akiona huu uzi...
2 Reactions
0 Replies
240 Views
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.
26 Reactions
6K Replies
464K Views
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee. Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu...
26 Reactions
2K Replies
86K Views
Hii imekaaje wanazengwe Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri. Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia. Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
Back
Top Bottom