Wakuu naomba kuuliza.
Hii kauli ya kusoma Cuba ime trend sana mitandaoni. Unfortunately mimi sio mtumiaji wa mitandao sana. Huwa natumia JF na pia JF huwa sio regular user, naweza kupotea miezi...
Kwema?
Goba kuna chimbo gani ninapoweza kwenda kula na kunywa nikaridhika?
Chimbo liwe na watoto ili wakati nakula nakunywa wakipitapita niwe napata raha.
Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani...
Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..
Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke...
Kwako Mkuu Dr,
Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na...
Mzuka wawanajamvi?
Hili jina mwamba linatumika kama sifa, status kumsifia mtu.
Hata kwa wapiga mizinga wanapenda sana kutumia wakikusogeza na kukuandaa kwa kukuita mwamba, mheshimiwa, boss kabla...
Mimi kama nasmile.nilijiunga 2011
Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani
https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maswali-gani-unahisi-hayajibiki-duniani.651919/
Na kama wangekuwa wanachukua tuzo naamin mwaka huu ningechukua tuzo ya mpigwa block na members wenzake, na huwa sijuagi nakosea wapi mpaka members kunipiga block, cha kushukuru sijawahi pigwa...
Boss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi...
Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma.
Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.