Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati.
Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba...
Habari zenu bas bwana miaka ya nyuma nirikua nikienda posta kufata vipaseli vya kununua au mzgo kira mtu nirikutana nae nirijuwa ni mwanaJamiiForums.
Yaan kira niromuona ofsi za posta nirijua ni...
Ukifanya jambo jema likaambatana na mvua ujue hiyo ni Baraka, Mungu wa Mbinguni amesikia Maombi
Ila Nina uhakika Akina Mwijaku na Kitenge wasingevumilia kunyeshewa 😂😂
Good morning!
Habari.
Kila Mmoja Anaendelea Na Majukumu Yake Ya Kila Siku Vyema.
Kama Swali Linavyojieleza Hivi Ni Kwanini Wanandoa Wa Jamiiforums Wanashambulia Watu Ambao Hawajaoa?
Kuna Nini Nyuma Ya Pazia...
Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze...
Habari wanaJf wote,
Story hii inahusu safari yangu kutokea Zanzibar kurudi Moshi, Kilimanjaro.
Ee bana dah nakumbuka ilikuwa ni sa 12 asubuhi kunduchi kwa mwenyeji wangu nikapewa chai ya maziwa...
Korogwe ni Wilaya mojawapo ndano ya Mkoa wa Tanga. Zingine ni Handeni , Lushoto , Pangani , Muheza , Kilindi , Mkinga na Tanga yenyewe
Ni Wilaya ambao ni kama Centre ya kila mahali kwa mikoa ya...
Mtoto anasema katumwa kuja kucheza. Nyumba aliyotumwa hakuna watoto ni watu age go.
Namuuliza anasema mama yake kamtuma aje kucheza. Nikauliza baba yupo? Kakajibu ndio.
Je niliyoyawaza mimi Babu...
NB: Mada hii naileta kwenu baada kupata inspiration kupitia thread ya donlucchese
Umeshawahi kupiga one katika levo yoyote ya elimu hapa nchini? Tukutane hapa.....!!!
Sijawahi kupata division one...
Stay away from older women
Stay away from older women
If i stay away from older women can't feel ok, the older the tighter,,,the tighter the sweeter......
Natumaini wote nyie ni wazima,
Well, naombeni mawazo yenu kwenye changamoto yangu hii ndogo, next week natarajia kuwa na kumbukizi yangu ya siku ya kuzaliwa
Nilipanga niende Zanzibar ila hii...
Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni...
Sababu.. ..
1. Mwarabu jana Kanikosesha Tsh Milioni 62 ili GENTAMYCINE niuage rasmi Umasikini wangu Ulionitukuka kwa muda mrefu.
2. Nalazimika kuwakwepa Watu Mtaani, kutopokea Simu zao na...
Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu
Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana...
Wazee habari zenu,
Kwanza juzi kwenye kusaka harakat za kupeleka mizigo bhna nilipata mteja yupo river side ubungo sasa nimetoka kariakoo nikafika had pale na boda nimetulia napiga simu inatumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.