JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wengine wataaamua kama tutafika!!
24 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari nyote (Waguma), Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini. Hio ndiyo kanuni hirizi ya...
2 Reactions
8 Replies
512 Views
Dah! Sijui watu wamekuwa na upako sana kwa sasa maana hii Salam imekaa kiuokovu Fulani Hivi
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa...
19 Reactions
160 Replies
6K Views
This is extra ordinary anointing.
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye...
2 Reactions
22 Replies
891 Views
Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
2 Reactions
14 Replies
980 Views
"Karibu brother" "Asante, nataka kunyoa ndefu tu na kupunguza hizi za pembeni" Unamaliza, anaitwa binti akuingize kwenye chumba, unajua unaenda kuoshwa, lakini anakukalisha kwenye kiti...
30 Reactions
63 Replies
6K Views
1) Katika maisha ya kawaida tunatumia zaidi ya miaka 6 kuota. 2) Wanyama wote huota pia. 3) unasahau 90% ya ndoto ndani ya dakika 10 baada ya kuamka. 4) Watu wa mkono wa kulia, kwa wastani...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari. Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba. Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Huyu Mtu Maarufu sana Ndani ya Mji wa Sinza Full Mbabe na alishawahi Shinda Mashindano ya Mr Dar Es Salaam na aliposhinda na kukabidhiwa kikombe akakishika kwa Mkono wake akakiminya hadi kikawa...
1 Reactions
56 Replies
16K Views
Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
4 Reactions
11 Replies
580 Views
Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai. Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi...
2 Reactions
9 Replies
528 Views
Just imangine wewe ni kijana wa miaka chini ya 30, hujaoa na una kazi nzuri tena unafanyia posta Dar es Salaam. Mshahara ni take home kama 2M hivi na unakaa either sinza or kigamboni. Maisha haya...
4 Reactions
20 Replies
880 Views
Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?
11 Reactions
249 Replies
6K Views
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line...
8 Reactions
26 Replies
902 Views
Leo mimi ndo nimejua kuwa ninatakiwa nitafute mtu sahihi katika maisha yangu nimeumia sana jmn
5 Reactions
14 Replies
465 Views
Umenyoa na hajaja Endelea kujikuna!!! Eti..vp wewe... mambo yako na bebii wako yaliendaje leo!!
5 Reactions
20 Replies
863 Views
Back
Top Bottom