Madegree ya kwenye makaratasi tu, udsm tunamaprofesa na maphd ya injinia lakini wawajawahi kutengeneza ata wembe tu [emoji1787][emoji1787], ata hako kamewashinda kweli aisee afu unataka mm niwe...
Salaaam wakuu.
Mimi sio mlevi wa pombe ila Nina kilevi changu, na kuacha haiwezekani.[emoji14]
Back to topic.
Nmekua mtembeleaji mzuri wa bar ila sasa napata shida linapokuja suala la kuagiza...
Habari zenu.
Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi.
Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa...
Wakuu habari za asubuhi?
Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye.
Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana
Tuntufye ni -...
Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk.
1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa
2...
Kwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?
Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.
Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?
Anauliza tena, uko poa...
Mazee
Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi
Suluhisho:
Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa...
1. Health workers with their patients.
2. Teachers with their students.
3. Managers with their employees.
4. Shopkeepers with their customers.
NOTE THE POINT: Do not defile, desecrate &...
International Day Of Tolerance'
Every 16th of November.
Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na...
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha...
Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki.
NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar.
Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.
Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu...
New.[emoji682]
Used.[emoji48]
Damaged.[emoji17]
Only for business.[emoji389]
Closed.[emoji613]
Opened & free.🦾
Under maintenance. [emoji616]
Opening soon. [emoji776]
For VIP. [emoji41]
For...
Basi bhana hakuna emoji ninayo ipenda kama ya kicheko cha machozi ile ndio imenifanya nizipende nyuzi nyingi za watu hata kama kaandika upuuzi/no point ila nitajikuta naukubali sana uzi/thread...
Kama yupo unaeshibana nae humu iwe mpenz,au rafiki embu mtag muanze kuchat chochote hata mlichofanya Jana usiku ila nas tujifunze,ikiwa mliduu,au biashara au chimbo.
Nianze na hawa Criston Cole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.