Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko...
Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama
1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo)
2. Nyoka...
Anaandika BICHWA KOMWE:-
Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.
Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya...
Habari za muda huu Wakuu,
Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.
Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo...
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna...
Kama unarafiki unapenda kumuwish jambo zuri mtag mie natag all JamiiForums ,na mzee namkubaligi sana humu. Na wengine wengi.
National Anthem please say a word this is happy new year hujaniwish...
Wakati fulani katika kijiji kimoja, mtu mmoja aliwatangazia wanakijiji kwamba angenunua nyani kwa Sh. 10,000.
Wanakijiji, waliona kwamba kulikuwa na nyani wengi karibu. Wakatoka mpaka msituni...
Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao.
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na...
Uko kwenye foleni mahali
Uko ofisini kwa watu
Uko kwenye usafiri wa jumuiya
Uko kwenye sherehe nknk
Unapepesa macho unamuona mtu kavaa shati lakini kakosea kufunga vifungo, vifungo vimepishana
Mtu...
Jamaa anaitwa January mwezi mgumu Sana kimaisha sio bongo tu hadi huko duniani na huyu kipara ndio jina lake sijui kama atatoboa
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Jf ni ulimwengu murua sana, una kila aina ya real life time experiencies, yani ukiwa humu unakuwa ni kama unaiona dunia na yanayoendelea ndani mwake.
Kuna true stories kadhaa zimeletwa na wadau...
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.