Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes...
ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!
na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia
Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.
-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume...
Habari wanazengo hususani wana UDSM, hapo jana niliwapa habari ya kwamba kuna waziri mmoja taarifa zilisema amepata GPA ya 1.5 chini ya ile inayohitajika ya 1.8 , ambapo katika kikao cha...
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana...
Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo...
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?
Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?
Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe?
====
Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia...
Wakuu mambo yasiwe mengi.
Kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwa mfano nikitaka kwenda ofisini asubuh na kurudi nayo jioni nyumbani mana mambo...
Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa.
Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa...
Bila kufika saa sita au saa saba bado sijapata usingizi, hata nikilaximisha kulala saa tatu au nne, usingizi hauji, na ukija, saa sita nitashtuka hapo ni mpaka majogoo ndo nisikie usingizi.
Ila...
Ukiniangalia zaidi ya nje yangu Na ukiangalia ndani utaona mimi ni nani kweli
Nisipojificha tena mimi ndiye mimi, hukuwahi kunijua mimi, hukuweza kuniona Mpaka nilipopata ujasiri wa kusema haya...
Mapenzi noma sana, siku hizi mahisiano bila unafiki hayadumu kabisa utaona unakumbatiwa unahisi kama unapendwa kumbe unanuswa[emoji28][emoji28][emoji28].
Habari zenu 🖐
Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.
Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona...
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.
Za chinichini zinasema jamaa ni...
Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe ..
Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills .
Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni...
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.
Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.