Kuna maeneo na majina sitoyataja kwa makusudi ili kuficha walioathirika na matukio yaliyotokea ambao kwa sasa wengine ni watu wakubwa na vyeo vyao serikalini na vyombo vya dola.
Ilikuwa siku ya...
Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini...
Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka.
Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi...
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.
Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.
Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.
Nimejaribu...
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa Mwanayamala hospital, Mwembe Yanga na Tandika Devis Coner na Kigamboni darajani na Sinza Mugabe na Kinondoni studio DSM. Shikamoo brother....!!!!!
Salamu...
Kwema wakuu kama mnavyojua bado nipo kwenye ziara yangu ya mikoa ya kusini mwa Tanzania. Baada ya Newala na Mtwara na Masasi, ninaelekea Nachingwea nikitokea Masasi.
Naomba watu mnaoijua...
Natumai mko vyema ndani ya hili jukwa pendwa la Jamii Forums. Ngoja niende moja kwa moja kwenye shina la huu uzii.
Chapter 1 Namibia.
Toka mwaka uanze nilikua nimebanwa sana na majukumu ya...
Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu...
A:Waponda dar
1. joto (umaskini & njaa)
2.kero ya usafiri (jam)
3.uchafu (miundombinu)
4.maadili mabovu(usasa)
B:wapenda dar
1.michoro nje nje (madeal)
2.starehe,anasa na vibe(viwanja)
3.Totoz...
Wakuu kutokana na hali kuto kua hali hili shindano la kutumia hela kidogo
Namaanisha hakutumia pesa kidogo as much as possible
Haya twende kazi[emoji3][emoji3]
First off, mwaga chini kiduchu kuhakiki kama ipo vizuri yaani haijaeksipaya.
Utaona povu.
Piga lesi ndefu ukiwa umebana pumzi, rudisha chupa mezani.
Sikilizia Dk 1 then rudia tena hadi ikate...
Kwakua ule mpamabno wa debate kati ya Kiranga na Mwita25..umeshindwa kufanyanyika
sasa naona Kuna Mpambano mwingine unaendelea kati ya mafahali wawili
huo si mwingine ni kati ya
FaizaFoxy Vs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.