JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aisee mimi ningeanza kuwapa block watu hawa JAMBAZI LIZABONI RUTASHOBOLWA Huwa wanapost na kutoa comment za utumbo tu
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Watoto wa kike tabia yetu ni kutoridhika hata tupewe nini kazi yetu ni kulialia tu yani Hivi inakuwaje mtoto wa kike upewe show nzuri na na mwanaume wako na bado umchune? Siku zote wakuwachuna...
14 Reactions
83 Replies
8K Views
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Baada ya msanii Harmo rapa anafananishwa na harmonize kupata umaarafu na kutoka kisanii... Neno RAPA hivi karibuni linaweza kutumika rasmi kama neno lenye tafasiri Sawa na KUFANANA. Hivyo basi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna sehemu leo hii nimepita nikasikia watu wanajadili kuwa eti mafundi ni waongo sana, tena ndio wanaongoza kwa uongo kwenye mahusiano, kazi na mengine, tena wakahusisha sana mafundi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
aa sorry ilikuwa acting ya ugomvi.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu, si mara ya kwanza kumsikia mtu akisema meno humuuma pindi mtu akisugua kitu cha bati au chuma mfano kunoa kisu katika sakafu, sasa naomba kujuzwa hivi kuna uhusiano gani kati ya meno...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ah... nimekukumbuka kweli Yondo mpaka asubuhi wakati niko njiani nikaanza kucheka mwenyewe.... walikua wananiita Kanda bongo man na wewe walikuita Yondo sister... pale kijiji ilikua kunzia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Song: Hakijaeleweka - Matonya. The Dancer - Unknown.
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Mwalimu anamwita Imamu,wakiwa peke yao darasani mwalimu anavua nguo zote na kumwamuru Imamu naye avue. Imamu:mwalimu mie nimeshavua teyari Basi mwalimu Hisia zikiwa zimempanda anaanza kumsogelea...
2 Reactions
0 Replies
957 Views
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Long time wakati biashara ya supermarket inaibukia ndani ya jiji la DAR nakumbuka eneo hilo ilikuwa moja ya uwanja wa mawindo.ukienda kununua stuffs wadada wazuri wanakuja kukusaidi kuchagua vitu...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume...halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai...
5 Reactions
1 Replies
627 Views
Pole na majukumu wakuu zangu. Unakuta mdada sura nzuri,anang'aaa lakini akitembea mtaani anatembea kwa wasiwasi na kupepesa macho pembeni na kujiangalia nyuma mda wote Swali hivi mnavojiangalia...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
habari wadau.. nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu.... sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo.. nataka...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje..... Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?! John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu...
3 Reactions
1 Replies
776 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…