Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa ..
SABABU YA KUJIUNGA...
Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU….
Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge …. Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi...
Hili ni wazo langu sitopenda kuliona MTU ameniibia na kujitokeza mbele ya vyombo vya habari kabla yangu,
Najipendekeza kuwa Raisi wa Chama cha Watembea kwa Miguu Tanzania (CHATEMITA),
Hii ni...
Mziki unaanzia paleeee tumayai hatupiti kwenye koo,tumaini,turost rost,tukababu,pale kahoma kamekuchapa unahisi mwili na roho kutengana,ndo hapo akili yako inapofanya kazi kuliko uwezo...
Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli.
Nimeaamua sasa sisikilizi...
Naomba sasa tuwe pamoja mwanzo mwisho wadau wa jukwaa hili
Hapa home nilipopanga kuna mambo yananitokea yaan ni baraa tupu vioja vya hatari masela wangu nakaa na mama mwenye nyumba na mabinti...
Salamu wana chit chat wote.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,nimekuwa na duku duku langu ili mda mrefu sana Leo nalitoa.
Mabint hawa wanaukonga moyo wangu sana kiasi chakushindwa kuvumilia...
Kama kuna kina dada ninaowazimikia humu Jamii Forums.
Basi FaizaFoxy ni nambari wani. Huyu dada kwa kweli ni mjuvi wa Lugha na jasiri wa kutetea hoja zake hata kama ziko Upogo, ni mtamu wa...
*Ni Ijumaa Ya Mwisho Wa Mwezi Mke Anataka Kumpima Iman Mmewe..*
*Akasajili Line Mpya Tofaut Na Ile Anayoitumia Kila Siku Akatulia!*
*Mnamo Saa Tisa Alasiri Mmeme Anarud Kutoka Kazini,, baada ya...
*Umesoma Nchi za njee, Nauli nenda rudi ni million 15,*
*Ada ya chuo ni million 30-40, umemalza unakuja tanzania umepata kaz unalipwa lak 4,,,,*
*My dear lima bangi mungu ni mwema atakuelewa...
Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine...
*_Nimekaa nimewaza sana kuhusu mwanaume aliyejiua kisa Mwanamke aliyemfungulia duka na saloon nikajifunza mambo yafuatayo...._*
zawadi anayoweza kupewa mwanamke na asikuache ni mimba pekee na...