Wakuu,
Mwenye mawasiliano yake aweke hapa!
Sipundui pale,akiniomba chochote hata nusu ya "ufalme" wangu nitampa!
Mbaya zaidi kuna dogo jirani yangu anafanana nae mpaka basi,nimembatiza jina la...
...Natamani kingerudi kile kipindi nilichokua na baba na mama wakiniambia fanya hichi, na mimi nafanya kile kwakuona kuwa mimi ni bora kuliko wao, kwakweli ningewasikiliza kila lililo jema kwao na...
UNAPO-CHART NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII:
WEWE: Oya!
YEYE: Nambie!
WEWE: mzima!
YEYE: Mi mzima ww je?
WEWE: Niko poa
YEYE: Ok
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHART NA MSICHANA HUYO HUYO...
Habar wadau
Binafsi kikao cha kuitisha ndugu au wazazi wa pande mbili labda umemfumania mkeo ni kikao nisichokipenda maisha yangu yote kwa sababu huwa kuna lawama za kiwango cha juu kama sio kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati...
Habari zenu wadau, leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mdau Dena Amsi akinipa taarifa kuwa ameamua kuachana na Mr Rocky kutokana na tabia za Mr Rocky za kubeba beba wanawake kumchosha...
*Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"*[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani hadi...
Habari wanajamvi
Jamani naombeni ushauri ,nilipokuwa ugenini kila muda wa kula ukifika anaotokea paka wa mwenyeji wangu ananisumbua sana kwenye chakula.je naombeni ushauri huyu paka nimmegee...
Wakati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakati akihutubia
wakazi wa Mkoa Kagera, alionyesha kuhusisha
janga la ukimwi na tabia ya uasherati na
kuonyesha kama lilikuwa janga la...
Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika..
Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.