Kwa wenzetu
US LADY: Wow beib it was so cool.
BRITISH LADY: Thanks beib, it was so enjoyable.
TANZANIAN LADY : Iko wapi chupi yangu? na ujue sina nauli na pia naskia njaa nipe chips.......
Hello people
Habari za humu poleni kwa mihangaiko ya hapa n pale. Am 22 boy university student Am interesting in charting both gender dini zote. Kabila zote nk kama ungependa tubadilishane mawazo...
UTANGULIZI
yani nasema hivi kila MTU lazima aapriciate kuwa hii ni thread bora kuwahi kutokea jamii forum labda pengine isitokee tena ,yani hakuna cha wafuatao
-miss natafuta
-miss chaga
-shunie...
Aisee nimewakuta watu somewhere wanamzungumzia vibaya iddi amini nikawashangaa sana alafu nikawauliza mnamjuaje iddi amin wakasema tunamjua kama dikteta aliyekuwa anawauwa waganda vilema baada ya...
kuna hospitali moja maarufu ya vichaa hapo ndani ya Bongo.
Basi baada ya madaktari kuwa wamefanya kazi nzito na ya muda mrefu ya kuwatibu wagonjwa wao wakaamua wawape test kidogo tu ili wajue...
Nimeamka asubuhi na alfu tu, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya azam. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti alipofika...