JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamii npo safarini na private car kuelekea arusha ntapumzika korogwe,maeneo gani mazuri yenye HUDUMA zote ili nikapunguze uchovu Wa safari........
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kimbwanga; sehemu ya 1 Mtunzi: (Hyungnim) Alifahamika kwa jina la Anko Mavi!jina hilo la mzaha alilipata kutokana na kazi yake ya kuchimba vyoo,kuvizibua vyoo vilivyojaa lakini pia kuyabeba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
*utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao[emoji38]*
5 Reactions
11 Replies
2K Views
how is your life going? do you enjoy it?
0 Reactions
8 Replies
813 Views
Habar zenu wakuu,.. Nikiwa nimechill mitaa flan hiv ya dom town (dodoma) , nahis nko lonely coz mi n mgeni pande hizi So I need friends tubadilishane mawazo.. Jinsia yoyote , njoo pm tuexchange...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TUNASHUKURU Mungu tumevuka salama
1 Reactions
18 Replies
1K Views
1.Asiye funzwa na mamake ufunzwa na sugarmamy 2.Mchagua jembe ajajua umuhimu wa tractor 3.mpende akupendae asiye kupenda mhonge 4.Ukisitaajabu ya musa hujayaona ya mchina 5.Masikin akipata...
5 Reactions
36 Replies
10K Views
Wale wapenzi wa show namba moko tz inaaza karibuni tuone
1 Reactions
1 Replies
930 Views
Cheka ukalale. Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya walikamatwa na madawa ya kulevya China. Wakaambiwa adhabu ni mbili kifo au adhabu nyingine ambayo wakiishindwa pia wanauawa.Wakaomba wapewe hiyo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo. Kwa wazazi wangu wapendwa...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Kila nikienda kwenye harusi wazee wananambia "Bado wewe tu" Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutatana kwenye Mazishi Sitaki ujinga :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hamjambo wana jf wenzangu. Kheri ya mwaka mpya, mimewamiss sana, kadhalika mawazo yenu pia. Wapi miss Chaga, Nyani Ngabu, YouTube, MMASA, mshana jr, Sikonge, Revola, nawengineo wengi, Mwaka mpya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Iv wakuu MSHAMBA ni MTU wa namna gani?
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Hakuna ubishi kwamba hali ya maisha Bongo imekuwa ngumu na ukakasi mara BabaJesca alivyoanza kutoa mbinyo kila kona,watu wanalia kimyakimyaa. wengine wametelekeza wake/michepuko kutokana na hali...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Wakuu ngoja nifunguke leo kimalavidavi, Kuna msanii wa Uganda kwa jina Juliana Kanyomozi, kusema kweli nampenda sana huyu dada. Laiti ningekuwa na uwezo na nafasi stahili, ningemuomba nimuoe...
1 Reactions
57 Replies
12K Views
Wewe bwana lufunyo umejaaliwa kujenga nyumba mzuri hapa mjini, unaishi na mkeo pamoja na watoto wako wawili Janet na john , sasa hapo nyumbani kwenu kwa sababu ni nyumba mpya haina hata miezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Upo club unadance peke yako mdogomdogo.. Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
606 Views
A Jamaican Man was making love to his woman for the first time in his lifr. He then suddenly screamed and ran out of the room.. then came back with a glass of water, and poured it in the...
9 Reactions
59 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…