*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu...
*Kikwete uko wapi.*???
Ni mwanzo wa mwaka tunaomba msamaha kwa kuwa tulifanya makosa bila kujua, mzee tutakukumbuka sana tunakumbuka katika uongozi wako umefanya mazuri sana ukilinganisha na...
Ilikuwa ni tar 17-12 1988 nilpopata taarifa kuwa siku tatu baadaye nitasafiri kuelekea 'dizim' Dar es salaam.Maandalizi ya nguvu yakaanza ikiwa ni pamoja na kuazima nguo bila kusahau chupi.Rafiki...
Habari wanaJf
Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani??
Maana nahisi si hali ya kawaida!!
Tupeane uzoefu na ushauri pia![emoji120]...
Nikiwa kama mtoto wa pekee wa familia ya bwana The bold na bibi Nifah tunawatakia heri ya mwaka mpya wa 2017 uwe wenye mafanikio tele.
Naona watu wanavyomind kimoyomoyo eti mbona sifanani na...
Nimekuwa nikiona watu wakipewa pesa na watu wanahangaika kuhesabu ila wakitoa katika ATM wanakunja wanaweka katika wallet pasipo kuhesabu kwa nini je ATM inaaminika kuliko binadamu au yenyewe...
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na...
Tukielekea kumaliza mwaka naomba tupige kura na zitahesabiwa tarehe 1 January 2017.
Awe member wa jamii forums, mtanzania.
Tupige kwa wingi taja tu jina la mtu ambaye katisha mwaka huu 2016...
Nashukuru sana kuwa mmoja wa watu safi kabisa hapa JamiiForums kwa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu.
Nawashukuru Mods kwakuliona hilo.
Karibu kueleza namna ulivyofanya kuepuka hizi ban ili hawa...
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza...
Sumbawanga nasikia Leo ni tarehe 3.
Huko kwenu nyie endeleeni kuangaika na mwaka mpya wenu watu wanaitafuta February.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :
PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa...
je kuna ukweli kwamba ili mtu yeyote aingie kwenye mahusiano na mtu fulani ni lazima aanze kutamani ndipo anapenda? ( its real that admiration start then true love follow?)
*Ivi kama juzi ilikua 2016*
*jana* ni 2017*
*Ivi leo si itakua 2018*
* kesho itakua 2019*
*Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena...
Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...