Woouh...!! Dada kanifanyia "SUPRISE" kwa kuniletea bia BALIMI yenye ujazo 500 ml na 5.8 alc........nikiwa Dsm......
Hii ni bonge la ***a toka kule kanda ya ziwa.....bei 1500 ....kwa heri safari...
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.)
MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa)
MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.)
MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia...
Ili kukata kiu ya RAIA wengi waliokuwa wakihoji kwa nini mtukufu, mwenye heri Mkuu hawapigii simu kituo cha habari cha nchi hiyo hatimaye Leo Rais wa chama cha wasukuma mikokoteni bwana Pangu...
Jamaa wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nimewaalika watu kwangu. yule jamaa wa kwanza akahamaki sana...
Kuna siku nilifulia ile mbayaaaa kipesa nikaamua kumuomba Demu wangu aniazime 10,000/= akanipa...
Baada ya siku mbili / tatu nikapata zali la pesa zaidi ya laki 4 hivi , ( NILIBET ) Nikaamua...
Mwanariadha mwenye mbio zaidi ulimwenguni Husain Bolt inasadikika kuwa tayari kashafika mwaka 2017!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bolt Hatakagi Stress!!!!!!
Ni sehemu ambayo ninayoweza kuiruhusu akili yangu kutulia na kupunguza stress.
Huku story na mada zilizoshiba ndio nyumbani Kwao,yaani tamu isiyoisha hamu!!
Comment za kufungua utambuzi na za...
Mnaosafiri na familia kwenye magari binafsi wakati huu wa sikukuu tafadhali muwe makini.
Tayari tumeshashuhudia ajali kadhaa zilizogharimu uhai na hata kusababisha majeraha makubwa...
Kina dada bana hawaachagi mambo yao!
Utamsikia anakwambia: "Baby naona aibu kuingia 2017, it's my first time". [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
Tujadili ivi mnafikiriaje ili swala la hawa wasioenda ata dakika moja wanachoka wengine na usingizi juu? Mi nashauri watengewe dunia ya peke yao? Sijui wenzangu...