UNAPO-CHART NA Mchumba WAKO
KWA STAILI HII:
WEWE: Oya!
YEYE: Nambie!
WEWE: mzima!
YEYE: Mi mzima ww je?
WEWE: Niko poa
YEYE: Ok
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHART NA...
Huu ni uchaguzi mkuu jf ambapo tutampendekeza mtu kwa kumtaja kwa kupjga kura. atakayependekezwa zaidi kwa kushika nafasi ya kwanza na ya pili ndio watakua wagombea rasmi humu Na kura ya...
Baba: Unampenda nani zaidi kati yangu mimi na mama yako?
Mtoto: Nawapenda wote.
Baba: Kama nikienda Marekani na mama yako akaenda Paris, wewe ukaambiwa umfuate mmoja utaenda wapi?
Mtoto: Paris...
Wakuu,
Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili...
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
Habari ya humu ndani wandugu, Kuna tabia moja ya hawa ndugu zetu wa huu mkoa wa mwendokasi wanoajiita wazawa au wandewa.
Inakera sana jambo dogo utasakia mjini kitambo wanajiona kila kitu...
Jamani nimejaribu kuangalia movie nyingi za huyu bwana naona signs nyingi ni zile zinaazotumika kwenye free massons..ndugu zanguni akuna utajiri mzuri kama kutoka kwa mungu...najua atuwezi kufikia...
kwa wale tuliosoma zile shule zetu maneno haya si mapya
1.Hawafu mwenye nguvu
2.Moto na maji
3.Juma na uledi
4.Siku ya gulio
5.Pamela na kipini
6. kuku na yai
7.jogoo wa ajabu...
Mwaka 2016 nenda tuu baba, tumejionea mengi juu yako hatukuchukii ila ujio wako ulikuwa na mbwembwe sana.
kama nilivyo kubali kukupokea pia acha nikubali kukuaga.
nenda tuu baba na maajabu yako...
Naanza kama sijakutaja si kwamba sikupendi ila tecno yangu ni hasara tupu:
Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy afrodenzi Teamo Fidel80 Baba Enock Fixed Point Mzee wa Rula Preta paka Jimmy...
Wakuu nikitaka kujua au kupata thread iliyo mfanya mwan jf kuwa banned nifanyeje..? D-A ni mmoja kati ya wanafamilia ambao wanauwezo mkubwa wa ku contain/absorb shoks wanapokuwa provoked...
Wapendwa wanajamvi
Ninaomba tujumuike pamoja na dada etu Dena Amsi katika kumfariji kwa kumpoteza Bibi yake Mzaa Babake, aliyefariki jana Dar Es Salaam. Msiba upo Binju A shuleni.
Pole Dada...
Nakumbuka wakati wa Bia ya Bigwa ndio kwanza inatoka kuna shombeshombe mmoja alikunywa kama bia mbili tu. Jamaa hakuweza kutembea basi rafiki zake wakambeba na kumuingiza kwenye Taxi, Yule dereva...