Oyooo machaliii veepee, manyookaaa veeepee, marasta veepeee, mafly culture veepee,
Mi nipo picnic hapa viwanja vya stress free zone, haya mavazi ya wahudumu mbona balaa, mizungu ya unga toka...
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread haikosi comment ya namna hio
1.weka picha
2.subiri waje/wanakuja
3 .Basi sawa
4.hahahahah
5. Tafuta kazi ya kufanya...
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa...
Habari wanajamvi! hivi mbona like zimekua adimu sana humu hata uone mtu kacoment point nzuri na yenye mashiko ila utaona coment yake inapitwa tu hapo na watapewa like wengine waliocoment upuuzi...
Leo nimepiga no 100, tigo huduma kwa wateja..
Akapokea dada mmoja hivi kwa madaha na pozi akanambia..
karibu tigo huduma kwa wateja, naitwa Rozi, naongea na nani uko wapi tafadhali...
Naanza mimi:
Salaam za Krismas na Mwaka Mpya Mtukufu Rais!Mimi huwa napenda tu kukutazama jinsi unavyoonekana kukifurahia cheo chako cha Urais pengine kuliko Marais wote wane waliokutangulia na...
Ni kitu gani unakipenda kwa dhati kabisa kutoka moyoni yaani ni muhimu sana kwako kiasi kwamba unaona maisha hayajakamilika bila hicho kitu au unaweza kusema huwezi kuishi bila hicho kitu. Taja...
Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na...
Leo tarehe 25 Dec tunasherekea kuzaliwa kwa Yesu Christo mwana wa Daud, ambapo ni kumbukumbu ya miaka 2000 iliyopita tangia Azaliwe katika Bethlehem ya Uyahudi Zamani za Mfalme Herode na bikira...
Kesho ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Naamini nitakuwa nimeongezeka busara na hekima badala ya namba za umri na kukomaa kwa ngozi tu.
Sijajua nitamalizaje siku yangu ya kesho lakini lazima...
Kwa niaba ya Bill Gates, Aliko Dangote, Abramovich, Mark Zukerbeg, Pamoja nami na mabilionea wengine
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya wenye mafanikio.
Kiukweli nimelimiss sana ile tangazo la mkuu wa kaya "Kwa Unyenyekevu mkubwa nawaomba Kura watanzania wote nawaahidi sitawaangusha Nitawatumikia kwa unyenyekevu mkubwa,asanteni"hasa lilisikika...
1.Kama umezoea kuombaomba pesa bila kufanya kazi ukitegemea uzuri wako.
2.Kama umezoea kulialia eti kazi hakuna,wakati unalipa kodi kila siku.
3.Kama hiyo degree yako uliyochukua pale mlimani au...