Tuma salamu kwa mwana/wana jf wote ambao michango na hoja zao zimekuwa zimekugusa kwa namna moja au nyingine.
Mi ntaanza;
1. Salamu kwa wanajf wa jukwaa la michezo hasa mashabiki wa Man Utd na...
How can I explain the large happiness in my heart to see Tanzania in this Christmas season. It's so better. Nipokeeni Wakuu.
Natoka masomoni ni mwanafunzi wa chuo fulani kule wingereza kwa wale...
Cheki hii reasoning ya kijana wangu wa miaka Minne!
Aliniuliza: Baba hivi Christmass na Mwaka Mpya ipi inaanza kwanza?
Wewe mwanao ndo kakuuliza hivo ungempa jibu gani tafadhali!
Habarini
Naomba kuulizia kwa yeyote anaefahamu sehem nzur ya kawaida ya kupumzika ambapo unaweza kula ama kunywa huku ukiwa unaview bahari na kupata upepo...nafikiri christamass hii sehem kama...
Tujikumbushe leo kipindi cha kununuliwa nguo za Christmass ni Mavazi gani yalikua maarufu sana anzia nguo mpaka viatu...
Enzi zangu mavazi yaliyokua maarufu sana ni Suruali za TOKYO,SAVCO,Shati...
Ifikie kipindi waafrika tufanye vitu kutokana na mazingira yetu yanayotuzunguka na si kugeza kinachofanywa na wazungu kutokana na mazingira yao. Mimi binafsi nawatakia Christmass njema ndugu zangu...
Kiukweli wakina mama wetu na kina Dada wetu sipendi hii waliyonayo ya kuweka hela kwenye maziwa. Unakuta ni mdada mfanyabiashara amekuuzia kitu kwenye mgahawa Sasa chenji anaitolea kwenye nguo...
Kujicompare ni nini labda?! Kujicompare ni ni neno la kiswanglish ambalo linabeba maana ya kujifananisha au kujilinganisha. Yawezekana ni miongoni mwa tabia za kale za mwanadamu ila sina shaka...
A fool man wanted to become a scientist so he brought a bird and say :
"shoo shoo "
And then the bird flew. Then, he brought a second bird and cut off his wing and again say
" shoo shoo "...
Hapa nimemaliza Kazi iliyonileta Moshi jioni hii baada ya kupata shida ya Usafiri huko Arusha.
Nilifika Stendi saa Tisa nikakuta abiria wamejaa lakini hakuna magari. Kama tisa unusu hivi coaster...