Habari wanaChit Chat,
Nimeona ni vema tukatoa dedication songs kwa Maxence na WanaJF woote katika kipindi hiki kigumu.
Mimi nadedicate wimbo wa kitabuni namba 180 Bwana U Sehemu Yangu
Umuendee...
Jamani tunapo wasindikiza hawa ndugu zetu kupumzika mahali walijichagulia tutumie ukweli siku zetu ziongezeke.
Marehemu kafa sawa na historia yake haijapishana sana na ya hatia na kitutu tofauti...
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana...
Asalaam Alaiykum,
Kipenzi, mtoto mzuri, sweetheart, Mrembo, Mvumilivu, Bibie FaizaFoxy toka siku ya kwanza tufahamiane mpaka tulipoachana alasiri ilee, nashindwa kukusahau wewe pamoja na vitendo...
Kila shetani na mbuyu wake ni usemi uliokuwepo tangu tangu na tangu!!. Shukrani kwa wahenga, wangechelewa tu kusema labda ningesema Mimi!!
Kabla ya kujiunga hapa Jf miaka minne iliyopita nilikuwa...
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.
What's up with that? I mean..what's the point?
Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi...
Tujuzane Leo Mtandao wako wa Kwanza wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia
Binafsi The Grid Enzi Hizo ikifuatiwa na Facebook na Mingine ikafuata...
Tujuze Na Wewe.
Toka asubuhi ananizungusha
Kuna muda kanambia yupo kaskazini, kuja kumtazama kumbe yupo mashariki
Sasa muda huu kakaa mahali sahihi.
Ngoja nikamalizane naye , Then ntaleta updates
Kuweni...
jamaa baada ya kukopy namba ya baba mwenye nyumba kakopy namba ya baba mkwe katuma laki mbili na baba mkwe kashajibu asante mkwe wangu.... Baba mwenye nyumba bado anadai pesa yake na jamaa hana...
Looku Looku [emoji102][emoji102]
_Nina Swali Ndugu Zangu Maana nimejiuliza Nimekosa Jibu mnisaidie......_
HIVI NDUGU ZETU WA MAASAI HUKU DAR WANALALA WAPI? MBN HATUKUTANI KWENYE NYUMBA...
GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja. SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998..
napenda sana kusoma news za zamani.