JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm... Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
mi ni mdada wa miaka 32 Natafuta marafiki wa kuchati nao marafiki wa jinsia zote. Nipo dar na ni mfanyakazi! Pm nifuate
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnijibu swali la leo. Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je! ""ADAM"" alilipa mahari ? Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari...
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Mimi kati ya vitu ambavyo sitosahau ni pale nilipoenda mji mmoja hivi hapa nchini sasa bhana nikahisi barafu ni muwa nikanunua zile za kwenye kijiti badala ya kulamba mwenzio nikang'ata nusu yake...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
KIPI KINATIA AIBU ZAIDI 1.Kufumwa ukijaribisha viatu vya mgeni? 2.Mgeni kufumwa akiongeza maji kwenye sufuria inayopikiwa ugali?
1 Reactions
3 Replies
613 Views
Mi sijaajiriwa, nasikia migunoooo
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamaa alikuwa anaumwa sana, mkewe akamwita daktari, alipofika akamkuta jamaa kafumba macho; Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa? Jamaa: Sijafa bwana Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhindi akinistress basi huingia JF. Kuna list ya watu ambao huwa nayapitia maandishi yao ili kidogo kunifurahisha na kunifanya nirudi duniani. Miongoni mwa watu hao ni huyu bujibuji. Hebu naomba...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma akuongoze Na akupe Kila lenye heri nawe Heri ya siku ya kuzaliwa Tony...
5 Reactions
167 Replies
6K Views
Nyimbo ipi itabaki kuwa bora kati ya Iyenaa Iyenaa na Tuimependa Wenyewe?
0 Reactions
6 Replies
817 Views
Jamaa mmoja alimwambia mkewe: unaonaje tukajikumbushia zile enzi za uchumba wetu? Mkewe akakubali kwa kusema "sawa sio vibaya" Jamaa akamwambia mkewe "basi kesho tukutane saa 4 garden", mkewe...
1 Reactions
0 Replies
888 Views
Netwek ya tigo bomu kweli jamaa alikuwa anachat kwa txt na mpenzi wake Binti; Hi Babes Jamaa: Hi luv (msg sending failed) Binti: Vipi upo? Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending failed) Binti: Mbona...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Tulikuwa bar moja jana mlinzi kaingia spidi, akamwambia jamaa mmoja aliyekaa kaunta, Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa Mzee: Umemtambua aliyeiba? Mlinzi: Hapana lakini nimeandika namba za gari hizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Babe ilikuaje ukanifungua vifungo bila me kuona cc Compact a mishuuu...
6 Reactions
84 Replies
5K Views
Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wa mbu unaongeza nguvu za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukitaka kujua mwanamke sio ndugu yako soma hii hapa upate undani. Jamaa karudi toka job mpole! MKE: vipi leo mbona mapema na mpole? MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa, MKE: ilikuwaje...
1 Reactions
2 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…