JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
4WD
Mwanaume alimnunulia pete ya almasi mkewe, rafiki akauliza "si ulisema anapenda gari yenye four wheel drive, mbona umenunua pete?" Mume akajibu "unadhani wapi ntapata rav4 feki?"
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Baba akimuuliza chemsha bongo mwanae anayesoma shule ya chekechea "haya niambie kitu gani hakiwezi kuliwa wakati wa breakfast?" Mtoto akajibu "hiyo mbona rahisi baba, si lunch na dinner"
2 Reactions
0 Replies
966 Views
Jamaa alikuwa anapita nje ya wodi ya vichaa akasikia mtu anasema, 13, 13, 13, 13, 13, 13,….. akaamua kuchungulia kwenye kitundu alichokiona ajue kuna nini, ile kuchungulia tu akamwagiwa mchanga wa...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Natamani nione Chadema inaingia ikulu. Natamani Wasira azae na mama Mkapa Natamani Rizwani afilisiwe Natamani Mkapa apandishwe kizimbani kwa uhujumu uchumi na mauaji ya Nyerere Natamani...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
MJINGAMJINGA wa WIKI.....Ana wapenzi wengi hatumii kinga, usiku anajidai kuljifunika chandarua
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niaje Wazeiyaaaaaaaaah.... EBANA SAWA: Mnajua nini??? Mie nina demu wangu... sawa mazee!! Na huyu demu wangu is that kind of a girl like many other girls are: "used". Sasa kama mnavojua msimamo...
4 Reactions
100 Replies
7K Views
Wengi wamejiajiri wengine wameajiriwa wengine wako busy na biashara zao. Career ni nyingi. Baadhi hawana kabisa kazi. Uzi huu special kufahamiana zaid Ila Kwa ufupi.. Andika kazi unayofanya...
2 Reactions
92 Replies
5K Views
Chloroquine dawa ya malaria
0 Reactions
164 Replies
25K Views
Shetani amefariki dunia akiwa bado yuko hai.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nielekezeni namna ya kuongeza followers instagram Kuna biashara yangu nataka kufungua sasa nikiwa na followers wengi itakuwa raisi kuitangaza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI. Nimeogopa sana...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Mwanaume kufanya kazi za nyumbani kama kupika,kuosha vyombo na kudeki....ni ujanja au uboya
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani isidingo nayo jipu haiishi 2
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe? Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE; 1.Serikali yawapeleka nyuki depo ili kuweza kulinda benki. 2.Serikali yapiga marufuku ulaji wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wana jamvi. Ishu iko ivi kuna avatar umu kwa kweli zinatutia vishawishi kuna avatar umu ukiangalia moyo unatetemeka. Kuna avatar umu ukiitia machoni unaanza kutengeneza pichs kuwa...
3 Reactions
106 Replies
8K Views
Yaani leo nipo nipo tu. Nani yupo yupo kama mimi? Am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile. I wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika.
2 Reactions
65 Replies
3K Views
Kesho ni Cku ya Mgomo kwa Wanaume wote Duniani.. kukemea vikali Swala la kuhonga Hela Wanawake.. kwa sababu..5 =.1..NYEGE Mnazitafuta wote.. =.2...MAPENZI mnafanya wote.. =.3...VIUNO, Mnakata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…