HIVI SEFUE BADO HAJATAFUTIWA HIYO KAZI NYINGINE!!?
Hapo ndiyo ujue kupata kazi Tanzania ni ngumu.... Kama Rais anamtafutia kazi Sefue hadi leo hajapata halafu wewe na mimi mtoto wa mkulima/...
Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena,
nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi...
Mtandao mpendwa wa Jamii Forum ungekua ni Serikali ukaambiwa uchague Members kutoka humu watengeneze hiyo serikali
Ungependelea watu gani kutoka humu washike Nafasi Hizi ?
Raisi.
Makamu Wa...
*KAMA NI WEWE UTAFANYA NINI?*
Mke alimuaga mume wake anaenda kumsalimia mam yake mgonjwa kijijini, akaondoka ijumaa na kurudi jumatatu huku akiwa na matunda kibao pamoja na vyakula vingine toka...
Mdogo wangu, ninakutakia furaha katika siku yako ya kuzaliwa.
Happy birthday to you...
Wanajf, dua zenu kwa mdogo wetu/dada yetu ni muhimu.
Na huu ndio urafiki na undugu [ATTACH
Jamaa mmoja alinipigia cm akitaka nimkope sh 20000 nikamwambia labda nimpe sh18000 akaniambia poa nikamwambia apa nilipo ipo 15000 akasema poa nipe iyo 15000 sipunguzi tena apo sasa cjaelewa...
Hii ilitokea hospitali ya vichaa.
Dokta alikuwa anawapima wagonjwa wa akili.
Dokta:Leo tunabadilika kuwa wanyama
Vichaa wakaanza wengine kutembea kama ng'ombe wengine wanalia kama mbuzi ,wengine...
Kama ilivo tofauti za kimitazamo na kutoelewana, humu pia hali hizo hujitokeza, kwa kuwa watu ni wale wale na masuala yanayotutofautisa ni yale yale!
Zijue baadhi ya ukinzani ama tofauti ama...
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati mlango anaogonga anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.